ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,533
Wapendwa katika maisha
Kuna vitu vya kukumbushana ila kwa sababu ya zama zimebadilika tunajikuta tunajisahau.,kila mtu yupo busy na ya kwake na familia yake
Hii sasa ni kwa ajili ya tunaoamini kuwa ipo pepo yaani paradiso Mbinguni na pia upo moto jehanamu sasa Tuendelee kuombeana neema maana hatujui saa wala dakika.. Kila siku tunapoteza ndugu zetu ebu ifike kipindi na sisi tufikirie namna gani tutakufa kwa wakristo tuendelee kupiga maombi na ibada sana na pia kwa waislam tuendeleze sala kwa wingi...thread hii kila ninapoiona ikichangiwa kila siku na lengo ni kutiana moyo katika safari ya haya maisha basi nitafarijika sana na nitazidi sana kumwoga Mungu na nitatenda yale atakayo tu. Nimefanya kusema hivi maana hujui kifo kipo wapi.,kuna ajali kuna uchawi, na wenzetu waliokufa wameenda. Sisi tulio duniani je? Kila mmoja kwa moyo wake akae chini a Tafakari ni wapi nimejikwaa na kumkwaza Mungu wetu. Tujirudi katika asili yetu kaa chini fanya meditation huku ukitafakari kifo chako ni vipi kitakuwa. Ushawah jiuliza ? Dunia ina mambo mengi maneno nayo mengi tumia muda W dakika tano Tafakari mwisho kabisa wa maisha yako unaonaje. Simamia imani yako. Hatimaye utazoea na utaishi maisha ya furaha huku ukiendelea kujiongeza na unacchanganya na zako kidogo. Ni mafunzo imara ya kuufanya moyo uwe na nguvu ya kuhimili matukio mengi ikiwemo ya kifo utakuwa mtu wa kutumia akili zaidi hata pale utapokufa utakuwa umefanya mazuri mengi sana. Kama upo tayari anza sasa kaa chini fanya moyo wako uwe mnyonge ufanye uwe mnyonge zaidi kisha anza kutafakari ni vipi maisha uenaendelea kuyakabili na ni vipi unapita njia zisizo sahihi. Hayo ni mambo ya msingi kabisa misimamo yako ujue yote ya ki dini uliegemea maana ni muhimu kuwa na imani nayo. Utulie ufumbe macho utafakari na kufurahi pindi utapoona Mwenyezi Mungu wako kwa mara ya kwanza maana sasa utakuwa umepiga hatua katika imani endelea na mazoez haya kila siku njoo sema mrejesho juu ya hio nguvu uliyoipata kwa mazoezi haya ya akili kuwa shupavu. Ubarikiwe