Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Habari wakuu nilikuwa nahitaji kucheki mpira wa arsenal na man city kupitia simu ,apps gani ni nzuri
 
Burma tv. Sijajua kama bado iko hot.

Ila pia waweza kutumia www.hesgoal.com kupitia browser ya simu yako au pc.
Mimi kwenye simu yangu inanambia hivyo...nakwama wapi??
Screenshot_20200617-220652_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom