Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Nenda google andika firstrow.com
Than fungua link inayoeleza kuangalia footbal online. Hapo patakua na mechi tofauti, unaclick mechi unayoitaka than zinakuja link, unachofanya ni kuchagua link unayoihitaji. Ukifungua link inafunguka na kuna sehemu ya kuona vedio lakini imefunikwa na matangazo mbali mbali. Unabonyeza hayo matangazo than kuna kua kuna vialama vya x vipo pia unavibonyeza mpaka vinamaliza. Inayobakia ukibonyeza tu vedio inaonesha
 
Google au ingia youtube. Maana kukuelewesha nahisi kama hutaelewa
Ok,nashukuru nimejaribu kuingia iyo ya Google kuna sehemu nimekuta imenipeleka kwa juu kuna sehemu ya kuweka email,Je kuna ulazima wa kuweka email
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom