Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Kila siku tunawafahamisha hamuangalii kwenye nyuzi nyengine lazima muanzishe nyuzi mpya? Mechi zote maarufu duniani, uefa, europa, seria A, seria B, laliga, bundersliga, leguw 1 na nchi nyengine. Ingia hesgoal.com
Hapo utazikuta na sometime hadi simba na yanga pia zinakuwepo
 
Asante mkuu kwa maelezo murua je inafanya kazi maana app nilizokuwa naangalia zimepigwa block.
 
Kila siku tunawafahamisha hamuangalii kwenye nyuzi nyengine lazima muanzishe nyuzi mpya? Mechi zote maarufu duniani, uefa, europa, seria A, seria B, laliga, bundersliga, leguw 1 na nchi nyengine. Ingia hesgoal.com
Hapo utazikuta na sometime hadi simba na yanga pia zinakuwepo
Naona inastakistaki iyo Hesgoal
 
Ndugu zangu habari ya muda huu?

Nimekuwa nikipata tabu sana kupata link rahisi, hisiyo na ads, very compatible na browsers.

Mfano game ya jana sijafurahia kabisa kutokana na kukwama kwama na kukata kwa matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia Online links.

Naomba tusaidiane links (siyo Apps ingawa si mbaya kama utashare ili kuwasaidia ndg zetu wengine wenye changamoto kama yangu) tunazotumia kutizima football matches za ligi tofauti tofauti barani Ulaya , hasa EPL na Champions Ligue.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom