Asante mkuu kwa maelezo murua je inafanya kazi maana app nilizokuwa naangalia zimepigwa block.Kila siku tunawafahamisha hamuangalii kwenye nyuzi nyengine lazima muanzishe nyuzi mpya? Mechi zote maarufu duniani, uefa, europa, seria A, seria B, laliga, bundersliga, leguw 1 na nchi nyengine. Ingia hesgoal.com
Hapo utazikuta na sometime hadi simba na yanga pia zinakuwepo
Ikikosekana ingia Facebook alaf andika Liverpool vs Chelsea live hua kila mechi ipo kama inachezwaAsante mkuu kwa maelezo murua je inafanya kazi maana app nilizokuwa naangalia zimepigwa block.
Hiyo sio application ni website.Asante mkuu kwa maelezo murua je inafanya kazi maana app nilizokuwa naangalia zimepigwa block.
Naona inastakistaki iyo HesgoalKila siku tunawafahamisha hamuangalii kwenye nyuzi nyengine lazima muanzishe nyuzi mpya? Mechi zote maarufu duniani, uefa, europa, seria A, seria B, laliga, bundersliga, leguw 1 na nchi nyengine. Ingia hesgoal.com
Hapo utazikuta na sometime hadi simba na yanga pia zinakuwepo
Mtandao labda ndo unakusababisha. Nikitumia firstrow.com inakula mb 700 kwa gemu moja na nikitumia hesgoal inakula mb 300 tu kwa game mojaNaona inastakistaki iyo Hesgoal
Iyo nayo Fistrow .com nayo inaonyeshaga mipira bure amaMtandao labda ndo unakusababisha. Nikitumia firstrow.com inakula mb 700 kwa gemu moja na nikitumia hesgoal inakula mb 300 tu kwa game moja
Yeah. Zote ni bureIyo nayo Fistrow .com nayo inaonyeshaga mipira bure ama