Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

msaaada jinsi ya kuangalia mipra ya Ulaya online wadau.Mobdro kwangu inazingua ila Sport zone ni best lkn sijui jinsi ya kuipakua
 
msaaada jinsi ya kuangalia mipra ya Ulaya online wadau.Mobdro kwangu inazingua ila Sport zone ni best lkn sijui jinsi ya kuipakua
[quote uid=433353 name="Mv jr" post=23695010]Tumia hii link kuinstall hii app utachek game zote duniani mkuu....<br />http://1xsone.com/sportzone/SportZone_1.2.3.apk[/QUOTE]<br />Kwa ambao walikuwa hajainstall hii app ya kucheki mechi live tumia link kuinstall...fullsoccer...

Fungua hiyo apk kwa browser yoyote na utakupa option ya kudownload!!!
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
Download hii app iko kwenye playstore hutajutia mkuu, inaitwa "live football tv". Best ever.

Achana na mobdro ni uchafu tu ule, hawa Warusi ni mwisho.
Screenshot_2018-10-30-01-02-04.jpg
Screenshot_2018-10-30-00-42-12.jpg
 
Wakuu huu uzi ni maalum kwa wale wapenda michezo! wakati mwingine mtu anaweza kua mbali na TV au DSTV lakini anatamani achek game au mchezo wowote kwenye simu au hata kwenye Laptop.
Nimeanzisha uzi huu ili mtu akipata link ya kuangalia online atupie humu ili kusaidia wengine kuangalia mchezo husika online!

Nitakua natupia kwa jinsi nitakavyopata

Leo tunaanza na tuzo za mchezaji bora wa dunia Cheki link chini

Ballon dor awards

TV Show : Ballon D'Or - HesGoal.COM Sports News
 
Wakuu huu uzi ni maalum kwa wale wapenda michezo! wakati mwingine mtu anaweza kua mbali na TV au DSTV lakini anatamani achek game au mchezo wowote kwenye simu au hata isue za kimichezo.
Nimeanzisha uzi huu ili mtu akipata link ya kuangalia online atupie humu ili kusaidia wengine kuangalia mchezo husika online!

Nitakua natupia kwa jinsi nitakavyopata

Leo tunaanza na tuzo za mchezaji bora wa dunia Cheki link chini

Ballon dor awards

TV Show : Ballon D'Or - HesGoal.COM Sports News
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom