Nadhani wewe utakuwa mwanachama wa chama tawala,Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
kuwaumbua au kutengeneza matatizo na familia zao mpaka ndoa zao ?? fanya mambo mengine, alafu si wote tunaishi songea tengeneza hata group la umbea whatsapp muumbuane.Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
FATIA,Yap jina la uliyemgonga tafadhali
Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
Wataachaje! kama hamuwahudumii wake zenu ipaswavyo...Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
ww wasema, ila karibu kwa mada nyingine bossAkili zako zinafanana na Avator yako so sikushangai