Thread imenipeperushia mwali

hehehe maharage ya Mbeya sio?
Lakini tatizo alisha jua kuwa mm ndo Fidel ikawa noma.

Maharage ya mbeya = maji mara moja = matumizi ya nishati kidogo= economy!!!!!!!

Mkuu nakuaminia kwa ubunifu wa pasua mbavu!!! Kwa mantiki hiyo ni vema mtu kuwa makini na thread unayoanzisha!!!!

Na wewe mkuu mbona huna likizo ya malavidavi??? Ka ukisafiri tu kidogo unaye!!!??
 
Kiongozi hana likizo huyu! Ye wakati wowote ni fita tu! Fita ni fita mura!
 
Amini usiamini nikiwa Vekesheni nikakumbana na mrembo mmoja maeneo ya Mwanjerwa huku na huku ikabidi nimvute chemba kidogo katika maongezi ya hapa na pale story za mapenzi nikamtumbukizia JF akadai anaipata vizuri sana akawa ananitajia hadi members kama ZD, Nguli, MJ1, Nyamayao, Xpin, Kaizer, Geoff, Fidel, F1,bht, carmel na wengineo mm si nakamwambia mi ndo Fidel duh mtoto akabadilika yaani neno kujiexpress likawa ndo agenda ya kunikimbia akaniambia wewe si ulitangaza unastaafu kujiexpress mbona kama hujaacha na unarudia rudia kuliongelea? Jamani nikawa sina kauli nikamwambia ndo hivyo niamini kama huniamini waulize wapwaz dah mtoto akaondoka hivi hivi...ile thread ya kustaafu imenikimbizia mwali any way nahisi alikuwa mtoto wa geti kali au mboga saba yule.
ahahahhhh we acha uhuni......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom