pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 96
Wadau ndiyo nimeingia leo JF tangu Friday, je thread gani leo inawika?
Duh, sawa sawaYako! !!
Njema kabisa!Habari yako? karibu
Wadau ndiyo nimeingia leo JF tangu Friday, je thread gani leo inawika?
Badala ujibu unashangaa, duh watu8 noma!threads zishakuwa jogoo...lol
Badala ujibu unashangaa, duh watu8 noma!
threads zishakuwa jogoo...lol
Duh, sawa sawa
Usingekuwa mjinga wewe usingejibu, ila kwa kuwa umejibu basi wewe ndiye mjinga na unajaza server. tena inabidi nikushitaki kwa MoDs unachafua jukwaa. Wewe huoni hii imepostiwa Jit-Chat? Hujui hii ni lounge? Hapa ni pahala pa kupeana habari habarimnajaza server na thread za kipumbavu tu.
ujinga mtupu
Usingekuwa mjinga wewe usingejibu, ila kwa kuwa umejibu basi wewe ndiye mjinga na unajaza server. tena inabidi nikushitaki kwa MoDs unachafua jukwaa. Wewe huoni hii imepostiwa Jit-Chat? Hujui hii ni lounge? Hapa ni pahala pa kupeana habari habari

we si umetoka Isanga juzi,hujakoma tu?mnajaza server na thread za kipumbavu tu.
ujinga mtupu
we si umetoka Isanga juzi,hujakoma tu?