Thread gani maarufu leo?

Sitii neno humu naona shemeji yangu watu8 yupo hapa sitaki kumuuzi.
 
Last edited by a moderator:
mnajaza server na thread za kipumbavu tu.
ujinga mtupu
Usingekuwa mjinga wewe usingejibu, ila kwa kuwa umejibu basi wewe ndiye mjinga na unajaza server. tena inabidi nikushitaki kwa MoDs unachafua jukwaa. Wewe huoni hii imepostiwa Jit-Chat? Hujui hii ni lounge? Hapa ni pahala pa kupeana habari habari
 
Pigo kwa kanisa makatibu wa tume ya katiba ni waislamu wamechakachua maoni ya wakristo wali opinga mahakama ya kadhi na kubakisha Mwanza na Mbeya mikoa iliyobaki wanahitaji mahakama ya kadhi tujipange kwenye kura za maoni kuukataa rasimu ya katiba tuma ujumbe huu kwa wakrito unaowafahamu
 
Usingekuwa mjinga wewe usingejibu, ila kwa kuwa umejibu basi wewe ndiye mjinga na unajaza server. tena inabidi nikushitaki kwa MoDs unachafua jukwaa. Wewe huoni hii imepostiwa Jit-Chat? Hujui hii ni lounge? Hapa ni pahala pa kupeana habari habari

unatafuta BAN
 
Back
Top Bottom