Thread gani ilikuwa bora kabisa hapa MMU kwa mwaka 2011?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Mwaka unaisha keshokutwa hebu tuambizane thread gani ilihit sana kwa mwaka huu?
 
ilihit kwa upande upo topic au idadi ya comments?
No sio kwa wachangiaji but kwa mtazamo wako mwenyewe coz sio kila kilichochangiwa sana kikawa bora ukumbuke huwa kunaibuka thread nyingi tu ndani ya thread moja so unakuta ina coments nyingi lakini kumbe wanacoment zile sub threads
 
Kwangu ilikuwa ni ile ya The One's Wife. Hii ilikuwa bonge la burudani kwangu kwa mchuano ulivyokuwa mkali kati ya mume na mke na haikuwa utani but was a true incidence. Na uzi ule ndio ulimkimbiza huyo The One jf mpaka leo hii haonekani hapa jukwaani,nafikiri atakuwa amebadili id yake.
 
Binafsi tread mbili ambazo sinto kaa nisahau maishani mwangu ni hizi

ya Babu Asprin kuhusu mwanajamvi mwenzetu "Chentuntu"

Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

na thread nyingine iliyonigusa sana ni
jinsi wana JF walivyojitolea kumsaidia kijana
Abbasi..

Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Hizo ndo thread zangu za mwaka huu na miaka mia ijayo sintokaa nizisahau..
Mh yeah these were just more than just athread, u know they showed that from just being FB, members have turned to be ndugu who can hear a cry of another ndugu
 
jaman huo ni mtazamo wangu.
haujafungamana na mawazo ya kongosho jaman.
ngoja aje ata2pia wazo lake. done.
Haya mama was just kiddin, thanx kama unaona hii ndio bora kwa mwaka huu
 
Top 2
1. Jf udaku- Tanmo
2. Tofauti ya wavulana na wanamme-The Boss

Nyie mlokuwa mnanisema natafuta dawa yenu.
 
Top 2
1. Jf udaku- Tanmo
2. Tofauti ya wavulana na wanamme-The Boss

Nyie mlokuwa mnanisema natafuta dawa yenu.
Umeona eeh tena uwatafutie mapema maana naona walikuwa wamekumiss sana
 
Top 2
1. Jf udaku- Tanmo
2. Tofauti ya wavulana na wanamme-The Boss

Nyie mlokuwa mnanisema natafuta dawa yenu.

My dia kongosho mi simo kabisa we mtafute huyo huyo muraaa. Mchokodhi kweli huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom