Those poor Kenyans whose houses were demolished should think of invading Kenyatta's 20,000 hectares of idle land

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,188
79,398
Huku idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona ikiendelea kuongezeka nchini, wakaazi wa mitaa ya Mabanda ya Mukuru kwa Njenga na Mukuru kwa Reuben wanalalamikia ukosefu wa chakula licha ya serikali kuzindua mradi wa kuwapa chakula.

Hadi sasa, hakuna mkazi hata mmoja amepokea chakula cha msaada, licha ya waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiangi kuzindua mradi huo.

 
Wahisani wakiziona hizi watatuma misaada
Angekuwa JPM kafanya hivi Media ya Kenya ingekuwa ya kwanza kumchomea na wahisani wangeenda kuzuia support kwa development projects! Kumbuka WB walichofanya Ubungo Highway!
 
Angekuwa JPM kafanya hivi Media ya Kenya ingekuwa ya kwanza kumchomea na wahisani wangeenda kuzuia support kwa development projects! Kumbuka WB walichofanya Ubungo Highway!
Geza kwa kuishi in denial hamna wapinzani...sasa unataka kutuambia serikali ya Tanzania haijawai wabomolea wananchi nyumba???
 
Namkubali Magu Jiwe la Afrika tano tena October 2020
Screenshot_20200518-095621.png
 
Back
Top Bottom