Elections 2010 Thomas nyimbo alizwa njombe mgh

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
Mgombea wa chadema aliyetarajiwa kuwa ktkt list ya wabunge wapya amelizwa na jamaa wa tume.
kwa habari tokakwa muhusika ni kwamba jina lake na picha yake vilionekana kama ni mgombea wa ccm. hivyo kwa kurahisisha kazi akatangazwa wa ccm.huo ndo ufundi wa kuchachua matokeo wa ccm-nec.
 
sijakuelewa unachosema

Picha ya Thomas Nyimbo ndo iliyochakachuliwa badala ya kura zake. Picha ya Thomas Nyimbo katika zile karatasi za kupigia kura ziliwekewa mdudu ccm. Ndo maana wananchi wakachanganya mambo na kumpiga chini, mimi ndo nimeelewa, kama nimekosea mkuu shade rekebisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom