Thomas Nkono... something special..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,884
Gianluigi Buffon: "When I was little, someone legendary entered my life. Thomas N'Kono, the Cameroon team goalkeeper. I saw him play at the Italy World Cup in 1990. I remember the first game against Argentina, Cameroon won thanks to his saves. Everyone was watching Diego Maradona and Roger Milla, but I was fascinated by him. That day I decided to be a goalkeeper. I even went on to name my son Thomas".
 
Kwenye Ile Mechi ya ufunguzi 1990 Kiwango kilicho onyeshwa na Cameroon wakiwa pungufu dhidi ya Argentina Bingwa mtetezi Yenye Maradona na Canigia na kuwa kalisha Argentina, Hakijawahi kufikiwa na timu yoyote ya Afrika katika kombe la Dunia ata Cameroon wenyewe hawajawahi kuki karibia.
 
Fainali za mwaka 1990 Cameroon walikuwa na vipaji kila eneo.
Ukiachana na Thomas N'kono na mwenzake Joseph Antonie Bell, binafsi nilivutiwa na safu nzima ya ulinzi chini ya Emmanuel Kunde na wenzake Jules Onana, Benjamin Massing, Bertin Ebwelle na Andrew Kana Biyik.
Hawa jamaa walikuwa burudani tosha.
 
Katika mechi hiyo( Argentina vs Cameroon) mimi nilivutiwa na faulo ya kiuufundi (Technical foul) yaBenjamin Massing dhidi ya Claudio Cannigia maana alifanya kumkumba tu hadi yeye Massing, Mpira na Cannigia wote nje ya uwanja bila hivyo Cannigia alikuwa anaenda kusawazisha bao, ilibidi achukue kadi nyekundu ya moja kwa moja
 
Fainali za mwaka 1990 Cameroon walikuwa na vipaji kila eneo.
Ukiachana na Thomas N'kono na mwenzake Joseph Antonie Bell, binafsi nilivutiwa na safu nzima ya ulinzi chini ya Emmanuel Kunde na wenzake Jules Onana, Benjamin Massing, Bertin Ebwelle na Andrew Kana Biyik.
Hawa jamaa walikuwa burudani tosha.
Umeniudhi kutomtaja Cyril Makanaky, hapo kati hapo!!
 
Umeniudhi kutomtaja Cyril Makanaky, hapo kati hapo!!
Hiyo ni safu ya kiungo mkuu.
Mwamba Makanaky na mwenzake wa England Paul Gascoigne Gazza walionyeshana ujuaji wa kulitawala eneo la kati kwenye mechi ya robo fainali baina ya timu hizo mbili.

Ilikuwa ni burudani kwelikweli hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom