Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 308
- Thread starter
- #61
Pia mkuu kama pele he was avarage player ni wazi tungeona hana uhakika wan namba lakini kuna wachezaji wakubwa tu aliwapiga benchi akina jose altafini ambaye alikuwa moto sana na ndio maan 1962 akakataa kuchezea brazil akaicheza world cup na italy bado unasemaje mkuu?Pele was just 17 hiyo 1958, with him or without him, Brazil wangechukua ule ubingwa. Ndiyo maana 1962 bila yeye walichukua.
Sikatai ubora wake, lakini ni lazima kutambua kwamba alikuwa na wachezaji ambao binafsi walikuwa na uwezo, na walithibitisha hilo, kwamba bila yeye wanaweza.
Usichanganye success ya clubs na mataifa, club inaweza kununua mchezaji wa taifa lolote lile, ila taifa linatakiwa kutumia wachezaji wale tu wa taifa lake.
Class ya 1992 ilikuwa muda wote inapewa backup ya talents, kina Andy Cole, Dwight Yorke na wengine walikuwa added kwenye hiyo team, siyo sawa na taifa.