Wamuulize Lema
Ngoja ni-google hilo jina..RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo mmoja wa police kupoteza maisha na jambazi mwenye anaitwa Hendry Samson Kaunda. Tenda hiyoooooooooooo!! Pesa nje njeeee!
Source RFA!!
yaani huyu jambazi mpaka sasa hawajamkata?
akipanda dau ntachangamkia dili!wachaga kazi kwenu m5 zenu musipoteze bahati.
Wamuulize Lema
akipanda dau ntachangamkia dili!
kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda, 5mln ni kidogo. Haitoshi kufanyia kitu chochote.RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo mmoja wa police kupoteza maisha na jambazi mwenye anaitwa Hendry Samson Kaunda. Tenda hiyoooooooooooo!! Pesa nje njeeee!
Source RFA!!