ThisDay halipo katika mtandao toka 14.08.08

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Leo gazeti la Thisday lina story "Manji named in EPA scandal" lakini baada ya kulikosa mitaani leo, nimekwenda katika mtandao na kukuta kuna toleo la August 14, 2008, kabla ya kwenda Idara ya Habari Maelezo na kuomba nakala kwa ajili ya kusoma.

Nimenukuu sehemu ya kwanza tu ya habari hiyo ikisema:

A PROMINENT local business tycoon Yusuf Manji is alleged to have been one of the mystery beneficiaries of more than 40bn/- paid to the controversial Kagoda Agriculture Limited company through the now-infamous external payment arrears (EPA) account scam at the Bank of Tanzania during 2005/06, it has been revealed.

Sasa tujiulize, THISDAY wamekumbwa na nini? Au ndio wamechoka ama wamezimwa, au kuna tatizo la mtandao kama la Mwanahalisi?
 
Si si ungenunua tu, kwa nini uende maelezo?
Wenyewe This Day wanasemaje kuhusu tatizo hilo?
Anyway, haya matatizo ya internent yanayoyapata magazeti hapa kwetu kila mara yanafaa kutafutiwa ufumbuzi.
 
Michuzi naye alitoweka kwa muda, Global publishers, nadhani vyombo ambavyo vinatoka kwa uhakika zaidi ni vya serikali na wapambe wao. Poleni this day maana naona mmebakia kuwa "That Day"
 
Si si ungenunua tu, kwa nini uende maelezo?
Wenyewe This Day wanasemaje kuhusu tatizo hilo?
Anyway, haya matatizo ya internent yanayoyapata magazeti hapa kwetu kila mara yanafaa kutafutiwa ufumbuzi.

Halipo mtaani, toka Magomeni hadi Posta Mpya na Posta ya zamani
 
Jibu ni simpo...............

Ameyanunua yote. Inatakiwa This day iichapishe tena habari na wa print kwa wingi!!!!
 
Hiyo aliyoweka halisi sijui ndo habari yao, mi sijaliona lakini nimesoma kulikoni, ni habari ya kawaida tu kwamba manji amenunua kesi ya kagoda
 
Hiyo aliyoweka halisi sijui ndo habari yao, mi sijaliona lakini nimesoma kulikoni, ni habari ya kawaida tu kwamba manji amenunua kesi ya kagoda

Mpita Njia wewe unaweza kuona kuwa ya kawaida kwa kuwa pengine unayajua mengi, lakini kwa kweli ni habari nzito na watanzania walio nje wanapaswa kupata hiyo habari. Lakini inawezekana ikawa ni uzembe zaidi
 
Haya mambo ya kununua Magazeti Manji hajaanza Leo,muda mrefu huwa anfanya hivyo kama magazeti yakiwa na Hot News,lengo ni kumkomoa Mengi..

Ukifuartilia unaweza kuta gazeti halijafika Mikoani
 
Michuzi naye alitoweka kwa muda, Global publishers, nadhani vyombo ambavyo vinatoka kwa uhakika zaidi ni vya serikali na wapambe wao. Poleni this day maana naona mmebakia kuwa "That Day"

Global publishers nadhani hawajalipia domain name yao ya .com, ndo maana ukiitafuta unapata message "this site has been expired"
 
Mpita Njia wewe unaweza kuona kuwa ya kawaida kwa kuwa pengine unayajua mengi, lakini kwa kweli ni habari nzito na watanzania walio nje wanapaswa kupata hiyo habari. Lakini inawezekana ikawa ni uzembe zaidi

Halisi, wasiliana na IPP Media ili kuomba kama kuna uwezekano wa kupata copy moja ya gazeti lenye habari hiyo ili uiweke hapa ukumbini.
 
Back
Top Bottom