Na sio mm tu umetutapeli mm na watu wote waliokuwa kwenye group lile,hakuna hata mmoja ulimtumia store japo ulikuwa unatudanganya nipo kwenye process za kutuma login zake.
Mods naomba mmuchukulie hatua huyu jamaa namba zake ni hizi hapa mbili nilizonazo mimi, 0756167815 na 0627381440.hizo ndo namba zake ni tapeli mkubwa sana
Unabadili id kila siku,na hizo unazosema ni nondo zako ndo hizo hizo ulizokuwa ukiziandika mwaka 2018 na tukajikuta tumekuamini,tukakupa kazi ya kututengenezea online stores ila ukapotea na hela zetu mpaka leo.WEWE NI TAPELI.tena naomba urudishe pesa yangu elfu 90 fasta.Ona sasa ujinga unaondika.
Do you think moderator will ban my account simply because you calling me names?
Mkuu kwenye post zangu nashusha nondo tu.
And many people find them educative.
Stop being stupid.
Bro, naona watu wamekosa uaminifu na wewe sasa kwa kua unasema ufanyacho ni halali basi nakushauri uwe 'verified user' ili angalau uaminifu urudi kwa watu wengi.
Unabadili id kila siku,na hizo unazosema ni nondo zako ndo hizo hizo ulizokuwa ukiziandika mwaka 2018 na tukajikuta tumekuamini,tukakupa kazi ya kututengenezea online stores ila ukapotea na hela zetu mpaka leo.WEWE NI TAPELI.tena naomba urudishe pesa yangu elfu 90 fasta.
Hutuhumiwi ujinga,thibitisha kwamba wewe sio mwenye hizo ids nilizozitaja hapo juu kisha ndo ukane haya nayoyasema.halafu kwani mm ndo wa kwanza kukuita ww ni mixed frank??,huoni kwamba watu wengi wanakutuhumu,why iwe wewe tu na sio mwingine.dhambi zako ulizofanya huko nyuma zinakutafuna kwa sasa mkuu.be honest rudisha pesa zetu tutakusamehe na hutatuhumiwa tena.Nimekwambia usiwe mjinga.
Ukiwa mwerevu utafaidika sana.
Yote uliyoandika ni none sense.
Hakuna unachoweza ku-prove zaidi unatumia Emotions kupunguza asira zako.
I’m legit my friend.
And you know what?
Naendelea na kazi yangu kama writer hapa JF bila kujali ujinga unaonituhumu nao hapa.
Hutuhumiwi ujinga,thibitisha kwamba wewe sio mwenye hizo ids nilizozitaja hapo juu kisha ndo ukane haya nayoyasema.halafu kwani mm ndo wa kwanza kukuita ww ni mixed frank??,huoni kwamba watu wengi wanakutuhumu,why iwe wewe tu na sio mwingine.dhambi zako ulizofanya huko nyuma zinakutafuna kwa sasa mkuu.be honest rudisha pesa zetu tutakusamehe na hutatuhumiwa tena.
Hawa hapa wengine ambao uliowatapeli,why waje kukoment hivi kwenye thread zako na sio za mwingine,angalia screenshot belowView attachment 1232671
Unatumia multiple ids unataka tukuprove vipi mzee,mods watakushughulikia tu very soon wao ndo wanaweza kuona devices zako unazotumia,email zako na taarifa zako nyingine na kureletisha juu ya hizi tuhuma,please mods fanyeni uchunguzi makini ikiwezekana muwasiliane na watu waliocoment juu ya swala la utapeli kwenye id nilizozilist hapo juu.ww utamatika too very soon.kwa sababu kama umezoea utapeli utaufanya tena tu.nachoweza kukifanya kwa sasa ni kuutahadharisha umma tu wajue wanadeal na mtu gani bacNaona unanipa tena kazi yaku prove negative.
Wewe ndiye unanituhumu mimi ni tapeli. Sivyo?
Kwahiyo ni jukumu lako kudhibitisha hivyo bila kuacha shaka yoyote.
Mkuu najua ulikurupuka bila kufikiria sana kwasababu ilikuwa na hasira.
But you know what?
I really don’t give a sh**t about your negativity.
Trust me, I won’t stop educating people on JF.
Mimi ni very honest.
Nadhani ungenifahamu usingeandika huu ujinga.
Kumbuka kila mtu hapa anaweza kumtuhumu yeyote.
Je, hiyo inafanya iwe kweli?
Why hizi comments zikupoint wewe na sio mwingine?? Jibu hili swaliWewe ni mjinga wa kiwango cha lami.
Inabidi nikupatie darasa uwe mweledi.
Sasa hizo comment zina prove nini kuwa mimi ndiye huyo mtu aliyewachukulia pesa zenu?
Inabidi uwe rational katika mambo yako.
Acha utoto, grow up
Wazo nzur,na mm ndo msishs hayo ya kukomaa mtandaon
Thought one
Hii opportunity ni nzuri kwa wote wanaodhani wanauwezo wakufundisha maarifa fulani na wanataka kufanya hivyo katika njia ya kisasa isiyotumia muda wao mwingi kwasababu baadhi ya watu wapo na kazi nyingine.
Pia gharama ya kuendesha Store ya namna hii haizidi Tsh 30,000 kwa mwezi.
Kama utauza Tsh 5,000 tu kwa siku (this is minimum number) hiyo maana yake kwa mwezi ni Tsh 150,000. Tayari umesharudisha gharama ya kuendesha Store.
Zaidi ya hapo hakuna gharama nyingine yoyote.
What do you think?
Does this sound like a good idea for you?
Let me know in the comment below