This means the so called “diary” is missing on the table

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Kuna kitu hapa IGP na timu yake wajifunze.

Yawezekana the diary ipo lakin DPP kaona haina mashiko na kutoipeleka, au yawezekana pia haikuwepo. Jambo la msingi ni tabia ya Polisi kutoa ufafanuzi wa kumshikilia mtu na kwenda ndani zaidi kuhukumu wao na kuelezea vielelezo na kila kitu ndo hili sasa linaleta shida. Nilitegemea Viongozi walioongelewa ni wa juu wa Serikali kama Ministers hivi kwenda juu. Kumbe ni Sabaya aliyekuwa na ugomvi wa Shamba na Freeman. Police wakikamata mtu wampeleke mahakamani, waache kujiteteatetea kwenye Media. Unaleta shida sana kwa DPP.

Wanachopaswa kufanya kwenye press zao ni kusema tuhuma za wanayemshikilia na wakishampeleka kwa DPP au Mahakamani hilo jambo hawapaswi kuliongelea kwani linatend kuingilia mwenendo wa kesi lakini pia linasababisha usumbufu au influence kwa DPP na timu yake kufikiria kudeal na public kutokana na mijadala ya nje hasa baada ya press za kina IGP au RPC.

The same applied kwa upande wa utetezi, tupunguze tabia ya kuwa wajuaji na kujaribu kuiingilia mahakama kisaikolojia kwa kukosoa baadhi ya facts kama kinachofanyika leo. What should be done ni kufuatilia hiyo kesi na kusubiri Mawakili wafanye kazi zao. Social influence ni mbaya sana ktk development ya kesi nyingi. Mfano mwenyekiti wa Kanda wa CHADEMA anasema hivi:


Tukumbuke ugaidi hauna kiwango cha ufadhili, yawezekana hata hiyo laki 6 ilikuwa ni mchango ktk kias kikubwa kilichohitajika. Tusubiri mahakama itakachoamua.
 
The DIARY neno hili nikisikia tu!moyo unashtuka!!!Wanataka kumwachia coz wameshafanya yao kwenye BLOOD CIRCULATORY SYSTEM kama walivosema alipewa chakula bila kumuona mtu aliempa!!!!!!ile press ya PAMBALU did all!!!
 
Back
Top Bottom