THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
 
we soma zako tu, kwa hiyo ulishaambiwa kufika chuo ndo lazima upate msichana au kila unaemtongoza lazima umpate..... do u have three credits?.... cash, car and c.......? kama huna tulia piga kitabu tu dogo
 
We yan first time una muapproach Dem unaingia na gia ya "I want to marry u"???!!

Hapo ndo mnaookoseaga wakaka

Pole sna ila badilisha mbinu utawakamata tu
 
kijana wa kiume
uliye chuo
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!
 
Kudadadeki! Mjini shule, ukitaka wa kwako peke yako labda umuumbe mwenyewe! By F.A!
Wenzio tunang'aa sharubu humo humo!
...
Afu uache ushamba kuzoeana na mschana kidogo tu umeanza kutoa swaga za kuoa!!!
...
Afu wa 93! Kudadadeki uko chuo gani? Ngazi gani? U cant be undergraduate!!!!
Bora utulie tu! Uendelee na masomo yako!
 
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.

unapoandika hii thread..........hapo kwenye wallet una sh ngapi.......?.....tuanzie hapo.........
 
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
vunja/toa kwanza ubikira wa akili yako ndipo uhangaike na kutoa/kuvunja ubikira wa mwili wako
 
kijana wa kiume
uliye chuo
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!
mwali hii sentensi yako ya mwisho umesema kama nilivyo sema mimi.
mtu akili tu imeziba hajui anataka nini kwa wakati gani na yuko wapi
sasa sijui hao wadada anataka wakambikiri vipi.
angetafuta wadada wa kuibikiri akialkai yake kabla hata ya kiubikiri dushe lake
 
Back
Top Bottom