Haka kaugonjwa bado kapo tu?? Nakumbuka nilipokuwa chuo nilishuhudia mdada mmoja aliingia kwenye exam na A4 paper imeandikwa both sides akaibana na pini kwenye sketi yake. Ile sketi iko kama unafunga kanga then kuna kikamba anamalizia kuzungusha kiunoni so akiwa amekaa kwenye kiti anafunua sketi karatasi iko kwa ndani. Mh! hatari kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.