This is what Kagame does to avoid meeting other World leaders at Mandela memorial!

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,062
79,089
Rwanda values ties that support local priorities – Kagame

December 12
03:262013
Rwanda values organisations and individuals that do not seek to impose their will but rather align their support with the priorities of the recipient countries, President Kagame has said.

President Kagame and Howard Buffett share a light moment during the International Quality of Life Award held at the UN Headquarters in New York on Tuesday. The President saidRwanda values partners who contribute with are not ‘subscriptive'. The New Times/Village Urugwiro
The President was on Tuesday speaking in New York where he delivered a keynote speech on the occasion to honour Howard G. Buffett, an American philanthropist, for his significant contributions to the improvement of the quality of life in developing countries, including Rwanda.

"As we, in Rwanda, look back on our journey of recovery and nation building and as we reflect on the core values of dignity and self-determination that guide our efforts, there are organisations and individuals whose partnership and support stand out. Howard's is one of them," he said.

For his work in making significant and lasting contributions to individual, family and community well-being locally and around the world, Auburn University's College of Human Sciences honoured Howard with the International Quality of Life Award.

Buffett is chair and chief executive of the Howard G. Buffett Foundation, a private charitable foundation working to improve the standard of living and quality of life for the world's most impoverished and marginalised populations.

‘Unique partner'

Describing him as a unique partner, the President said the IQLA laureate was different from many visitors from foreign governments, academic institutions and NGOs, who arrive in Africa with "preconceived ideas based upon where they come from, what they have heard or read"

Some of these partners, Kagame said, while they often come to the region with good intentions, tend to believe that they understand the situation better than those they seek to help, thereby making the mistake of being overly prescriptive.

"However, Howard [Buffett] has been different. He came to our region with an open mind, ready to listen, learn and share; and not to dictate – and he genuinely used what he learned to inform his actions and investments," the Head of State told the audience.

"Howard [Buffett] has been a friend to many, including the people of Rwanda and the Great Lakes Region of Africa for more than fifteen years. He has made significant contributions to the improvement of the quality of life that should be recognised and respected," the President said of the laureate.

In the case of Rwanda, Kagame said, Howard [Buffett] has "sought to understand the country and brought in support and perspective that have helped address our particular challenges."

Approach to partnerships

Sharing Rwanda's approach to partnerships, President Kagame explained that in order to achieve the country's national vision and overcome adversity, Rwanda has continued to challenge conventional wisdom.

"Our situation has taught us to value and appreciate people of conviction who have the courage to do the right thing even when it is considered controversial by others. Howard [Buffett] is one of those people," he added.

President Kagame said when he met Buffett in August, the American philanthropist committed to two things: partnering to modernise and develop DRC-Rwanda border post; and supporting Rwanda's Strategic Capacity Building Initiative to strengthen government institutions.

In a statement released yesterday, the Howard Buffett Foundation announced a US$3.7 million grant for the Government of Rwanda Strategic Capacity Building Initiative (SCBI).

"Rwanda's development successes can be attributed to its aid effectiveness and its investments in governments and institutions," Buffett said.

"If Western donors truly want to support African-led development, and bring an end to Africa's reliance on outside aid, it's critical they support important efforts like SCBI."

President Kagame also lauded the American for his Africa Great Lakes Peace Initiative which seeks to fund specific development projects in eastern DR Congo, with the President saying this "will play a significant part in lasting peace and stability that is sought in the DRC and beyond"

"Howard's work should serve as an example to those who want to build meaningful partnerships that make an actual difference in the lives of those who need it the most," the President said of the recipient of the IQLA.

Howard, the eldest son of billionaire investor Warren Buffett, also operates a 1,500-acre family farm in central Illinois, and is involved with improving production practices for smallholder farmers in developing countries in Africa and Latin America.

Tim Cook, CEO of Apple, received a lifetime achievement award. Other notable attendees were UN Deputy Secretary General Jan Eliasson and actress Eva Longoria.

By James Munyaneza,The New Times
Rwanda values ties that support local priorities

MY TAKE
This is too low of him the instigator of COW trying to forge relevance while receiving backlashes to an extent of ending up being a servant to deliver a thank you note to not even Warren but Howard (a son of the billionaire) on an occasion to honor him in an exchange of mere US$ 3.7 million! This dude is in illusion trying to run away from his own shadow!

Kagame asingeweza kuhudhuria msiba wa Mandela..... Maana ulikuwa msiba wa mtu asiye penda visasi kwa yeyote aliyemfanyia ubaya.... Kitu ambacho Paulo Kagame hawezi....... yeye anawaza visasi tu.... hata ukimshauri kitu....kama ushauri wako haupendi basi lazima anafikiria jinsi ya kulipiza kisasi kwa sababu ulimshauri kitu asichopenda.....

Hivyo Paulo Kagame si muumini wa kusamehe na kusahau yaliyopita.

Asingeweza kwenda South Africa hata kwa dawa, kwanza South Africa imechangia jeshi mashariki mwa DRC kukomesha unyonyaji na maauaji ya Kagame kwa hiyo anasikitika sana kwa hilo,pia kipindi Mandela ni rais hakuwa anajua kama yale mauaji yalikuwa makubwa na chokochoko zote za instability ya Great Lakes Regional zilifanywa na akina Kagame kwa hiyo alivogundua tu akawa hamfagiliii Kagame na serikali ya Rwanda
 
Nilishawaambia kuwa raisi wangu ana prior engagement ambayo for someone who values commitment and fulfilling them he could not not go.

Manistique ya Madiba ni muhimu kwa Rwanda na tuliwakilishwa na kiongozi wa juu kabisa (waziri mkuu) ambaye alitoa heshima kwa niaba ya Rwanda. Raisi wetu alikuwa amekubali mwaliko huo miezi mingi kabla and he had to attend to show his commitment.
 
Nilishawaambia kuwa raisi wangu ana prior engagement ambayo for someone who values commitment and fulfilling them he could not not go. Mazishi ya Madiba ni muhimu kwa Rwanda na tuliwakilishwa na kiongozi wa juu kabisa (waziri mkuu) ambaye alitoa heshima kwa niaba ya Rwanda. Raisi wetu alikuwa amekubali mwaliko huo miezi mingi kabla and he had to attend to show his commitment.
so na COW meeting wakati wa Obama akiwa Tanzania ilikuwa arranged prior Tanzania invitation sio? hizi chuki zitammaliza soon!
 
Nilishawaambia kuwa raisi wangu ana prior engagement ambayo for someone who values commitment and fulfilling them he could not not go. Mazishi ya Madiba ni muhimu kwa Rwanda na tuliwakilishwa na kiongozi wa juu kabisa (waziri mkuu) ambaye alitoa heshima kwa niaba ya Rwanda. Raisi wetu alikuwa amekubali mwaliko huo miezi mingi kabla and he had to attend to show his commitment.

I hate this type of quoting, yaani page nzima!! Angalau ingekuwa paragraph moja tu lakizi zote. Tukumbuke kunukuu ni kwa ajili ya kuonyesha msisitizo ktk point fulani siyo kuonyesha kuwa unajua kunukuu. Samahani kama nimekukwaza na wala siyo wewe tu ni wengi
 
Kagame asingeweza kuhudhuria msiba wa Mandela..... Maana ulikuwa msiba wa mtu asiye penda visasi kwa yeyote aliyemfanyia ubaya.... Kitu ambacho Paulo Kagame hawezi....... yeye anawaza visasi tu.... hata ukimshauri kitu....kama ushauri wako haupendi basi lazima anafikiria jinsi ya kulipiza kisasi kwa sababu ulimshauri kitu asichopenda.....

Hivyo Paulo Kagame si muumini wa kusamehe na kusahau yaliyopita.

Kauli ya kudai viongozi watafuta visasi imeanzishwa na Tanzania. WaTz wameng'ang'ania sana kakifungu ka marufuku Rais aliyekuwa Madarakani kushitakiwa baada ya kuondoka madarakani kwa makosa aliyoyafanya wakati akiwa Rais. Kifungu hiki kilimfaa Mwalimu kwa sababu alikuwa na malengo ya kubadilisha umma ambao ulikuwa na matatizo mengi ambayo yalihitaji kuondolewa kwa nguvu. Hawa wengine wanaotafuta maridhiano wana lipi la kutetea kelele zao za kutaka maridhiano watakapotoka madarakani? Tukiorodhesha matumizi yao mabaya ya madaraka nadhani watatafuta mahali pa kukimbilia kuomba hifadhi. Hii ndiyo sababu wanaleana, ukitoka nje ya mstari wao unaishi kuwa kama Kolimba, ukijuasiri nyingi mno mhawakuachi, Kombe aliuwawa kwenye kizuizi akidahaniwa jambazi. Sasa anzia hapo, ukienda kutaka uKUBWA na wanajua kuwa wewe walikutendea ubaya wanaingia "mitaani" kukuzuia kwa kukuita wenye ni janga la kiTaifa.

Mzee Ruksa alisema : "Msitangaze mabaya tu, mbona mema hamuyasemi?". Ukiitafuta hotuba yake ya kumaliza uRais wa Tz hapo uwanja wa Uhuru utakuta alimwoma radhi mkewe Mama Siti kama alimkosea wakati akiwa Rais. Sikusikia akitaja kuwaomba radhi hata baadhi tu ya waTz aliowakosea hata kwa bahati mbaya wakati akiwa madarakani. Pamoja na Mzee wetu kutoona adhari za kasoro hii huoni ni busara kumwachia mTz aliyekuwa na kasoro iliyotokana na matumizi mabaya ya madaraka ya mtu kama huyu kuamua mwenyewe kwa BUSARA yake na HEKIMA yake kusamehe endapo atapata uRais?

Mkapa ndiyo basi tena kwa sababu yeye alikuwa na ugomvi na wandishi wa Habari kwa hiyo ilikuwa hakuna haja hata ya kungoja washambenga wa siasa kummaliza. Alitaka hata kununua mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira haraka haraka wakampigia mayowe ikabidi aache. Ukiwauliza sasa hivi waliokuwa wanampigia kelele maskini Mkapa wanajua Kiwira iko wapi, wanakwambia walifarijika tu kuona Mkapa anaondoka Kiwira na siyo Kiwira kuzalisha umeme wa TZMega.

Ukimwambia JK kuwa hata yeye anajua kuwa mabilioni anayochota hazina kugawa kwa raia asioweza hata kuwasimamia yanaishia kuneemesha biashara ya madawa ya kulevya nchini atakwambia yeye hajui, yeye anataka kuona waTz wakiishi kwa kufanya biashara. Siri zake zingine ukizitafuta nadhani utaishia kuwa Kibanda au Ulimboka. Kesho Ulimboka au Kibanda wakipata kubahatika kupewa uRais wa Tz (Hawa ndiyo akiina Mandela walioangukia visiki kwa sababu ya kupingana na akina Deklark wa Tz), JK atakuwa anafanya ustaarabu kuwahimiza kusamehe na kuacha visasi?

Tuseme tu lugha ya kuacha visasi inatoka kwa wale waliokwishapindukia kwa amkusudi na wanajua wakiondoka madarakani dawa yao ni kukimbia nchi na kuomba hifadhi nchi za nje. Iliwahi kuaminika kuwa Idd Amin alifikia hata kula nyama za wapinzani wake aliowauwa (sina hakika kama hili ni kweli), na hapo basi walioliwa nyama wasahau na wasiwe na visasi! Kauli hiyo inapendeza lakini woga wa kukimbia nchi upo dhahiri, je kuna sababu ya wanaofikishwa kwenye visasi hivi kuanza kufundishwa kuishi duniani na waliowatendea uovu wa visasi? Mungu katufundisha kuwa yeye kamwe hataishi na wenye dhambi, mbona kuna kauli za wenye dhambi kubadilisha msmamo huu kwa sababu tu wanataka wasamehewe nje ya taratibu za misamaha? Deklark hakumshauri Mandela kuacha visasi, ni Mandela ndiyo aliamua kuacha visasi na alikuwa na sababu zake. Ni hili la kuwa au kutokuwa na sababu ndilio linalosababisha Kagame awe tofauti na JK kuhusu kuwa au kutokuwa na visasi, mbona unamchukia Kagame?
 
Nilishawaambia kuwa raisi wangu ana prior engagement ambayo for someone who values commitment and fulfilling them he could not not go. Mazishi ya Madiba ni muhimu kwa Rwanda na tuliwakilishwa na kiongozi wa juu kabisa (waziri mkuu) ambaye alitoa heshima kwa niaba ya Rwanda. Raisi wetu alikuwa amekubali mwaliko huo miezi mingi kabla and he had to attend to show his commitment.

anamuogopa Nyamwasa!
 
..sasa unataka kusema viongozi wote waliohudhuria msiba wa Madiba walikuwa hawana commitments zozote?

..huyo milionea wa Kimarekani ndiyo anawafanya Rwanda mkose utu na heshima za Kiafrika kiasi hiki?
 
Lol,ant Kagame mmekosa cha kuandika sasa imekuwa bora liende,mna matatizo sana nyie,and Mandela is no friends of FDLR or any genocidals waliotimuliwa 1994,na sio kila kiongozi alikwenda kumzika Mandela,im sure Mandela angependa mkae huko kwenu mjisaidie kupunguza matatizo kuliko kuchoma taxpayer money kwenda south..keep bashing labda inawafanya mjisikie vizuri
 
Rwanda values ties that support local priorities – Kagame

December 12
03:262013
Rwanda values organisations and individuals that do not seek to impose their will but rather align their support with the priorities of the recipient countries, President Kagame has said.

President Kagame and Howard Buffett share a light moment during the International Quality of Life Award held at the UN Headquarters in New York on Tuesday. The President saidRwanda values partners who contribute with are not ‘subscriptive’. The New Times/Village Urugwiro
The President was on Tuesday speaking in New York where he delivered a keynote speech on the occasion to honour Howard G. Buffett, an American philanthropist, for his significant contributions to the improvement of the quality of life in developing countries, including Rwanda.

“As we, in Rwanda, look back on our journey of recovery and nation building and as we reflect on the core values of dignity and self-determination that guide our efforts, there are organisations and individuals whose partnership and support stand out. Howard’s is one of them,” he said.

For his work in making significant and lasting contributions to individual, family and community well-being locally and around the world, Auburn University’s College of Human Sciences honoured Howard with the International Quality of Life Award.

Buffett is chair and chief executive of the Howard G. Buffett Foundation, a private charitable foundation working to improve the standard of living and quality of life for the world’s most impoverished and marginalised populations.

‘Unique partner’

Describing him as a unique partner, the President said the IQLA laureate was different from many visitors from foreign governments, academic institutions and NGOs, who arrive in Africa with “preconceived ideas based upon where they come from, what they have heard or read”

Some of these partners, Kagame said, while they often come to the region with good intentions, tend to believe that they understand the situation better than those they seek to help, thereby making the mistake of being overly prescriptive.

“However, Howard [Buffett] has been different. He came to our region with an open mind, ready to listen, learn and share; and not to dictate – and he genuinely used what he learned to inform his actions and investments,” the Head of State told the audience.

“Howard [Buffett] has been a friend to many, including the people of Rwanda and the Great Lakes Region of Africa for more than fifteen years. He has made significant contributions to the improvement of the quality of life that should be recognised and respected,” the President said of the laureate.

In the case of Rwanda, Kagame said, Howard [Buffett] has “sought to understand the country and brought in support and perspective that have helped address our particular challenges.”

Approach to partnerships

Sharing Rwanda’s approach to partnerships, President Kagame explained that in order to achieve the country’s national vision and overcome adversity, Rwanda has continued to challenge conventional wisdom.

“Our situation has taught us to value and appreciate people of conviction who have the courage to do the right thing even when it is considered controversial by others. Howard [Buffett] is one of those people,” he added.

President Kagame said when he met Buffett in August, the American philanthropist committed to two things: partnering to modernise and develop DRC-Rwanda border post; and supporting Rwanda’s Strategic Capacity Building Initiative to strengthen government institutions.

In a statement released yesterday, the Howard Buffett Foundation announced a US$3.7 million grant for the Government of Rwanda Strategic Capacity Building Initiative (SCBI).

“Rwanda’s development successes can be attributed to its aid effectiveness and its investments in governments and institutions,” Buffett said.

“If Western donors truly want to support African-led development, and bring an end to Africa’s reliance on outside aid, it’s critical they support important efforts like SCBI.”

President Kagame also lauded the American for his Africa Great Lakes Peace Initiative which seeks to fund specific development projects in eastern DR Congo, with the President saying this “will play a significant part in lasting peace and stability that is sought in the DRC and beyond”

“Howard’s work should serve as an example to those who want to build meaningful partnerships that make an actual difference in the lives of those who need it the most,” the President said of the recipient of the IQLA.

Howard, the eldest son of billionaire investor Warren Buffett, also operates a 1,500-acre family farm in central Illinois, and is involved with improving production practices for smallholder farmers in developing countries in Africa and Latin America.

Tim Cook, CEO of Apple, received a lifetime achievement award. Other notable attendees were UN Deputy Secretary General Jan Eliasson and actress Eva Longoria.

By James Munyaneza,The New Times
Rwanda values ties that support local priorities

MY TAKE
This is too low of him the instigator of COW receiving backlashes and ending up delivering a thank you note to not even Warren but Howard (a son of the billionaire) on an occasion to honor him and parted with US$ 3.7 million! This dude is illusion trying to run away from his own shadow!

Halafu pk na museveni kila leo hadharani wanajidai wanawachukia mabeberu wa magharibi huku wanajipendekeza na kutafuta kusifiwa nao kila leo. Ukweli viongozi wengi walivunja engagement kwenda SA ila kwa mtu kama 'paulo ana mikono michafu'.
 
Kagame asingeweza kuhudhuria msiba wa Mandela..... Maana ulikuwa msiba wa mtu asiye penda visasi kwa yeyote aliyemfanyia ubaya.... Kitu ambacho Paulo Kagame hawezi....... yeye anawaza visasi tu.... hata ukimshauri kitu....kama ushauri wako haupendi basi lazima anafikiria jinsi ya kulipiza kisasi kwa sababu ulimshauri kitu asichopenda.....

Hivyo Paulo Kagame si muumini wa kusamehe na kusahau yaliyopita.

kweli kabisa..
 
kati ya msiba wa Mandela na kumuona mtoto wa buffet,kipi kilikua muhimu kwa PK kuhudhuria?
 
Pres Kagame is a man of strong convictions. Eloquent, decisive and disciplined. Afrika tungalikuwa na ma-rais kama Pres Kagame 7 tu tungalikuwa mbali. Tupilia mbali hizi chuki binafsi na mudslinging from misguided people. Kagame ni jembe.
 
Hivyo kwa maoni yako unaona kumushukuru mtu ambaye anakuwezesha
na kukusadia katika ujenga nchi yako so muhimu?
(Its better to think twice before we act)
 
Kagame asingeweza kuhudhuria msiba wa Mandela..... Maana ulikuwa msiba wa mtu asiye penda visasi kwa yeyote aliyemfanyia ubaya.... Kitu ambacho Paulo Kagame hawezi....... yeye anawaza visasi tu.... hata ukimshauri kitu....kama ushauri wako haupendi basi lazima anafikiria jinsi ya kulipiza kisasi kwa sababu ulimshauri kitu asichopenda.....

Hivyo Paulo Kagame si muumini wa kusamehe na kusahau yaliyopita.

Ungalijua kuwa safari zote za Kagame bondeni ni lazima alikuwa anaonana na Mzee Mandela.
 
Ungalijua kuwa safari zote za Kagame bondeni ni lazima alikuwa anaonana na Mzee Mandela.

Hizo safari za PaKa alikuwa akifanya kabla ya M23 kuchapwa mashariki ya DRC.... Sasa hatothubutu kutia mguu Afrika Kusini na Tz...... anafikiri jinsi ya kulipiza kisasi.... refer the PaKa (Mzee wa Visasi) statement.... ''I know where to hit him''...........................
 
Asingeweza kwenda South Africa hata kwa dawa, kwanza South Africa imechangia jeshi mashariki mwa DRC kukomesha unyonyaji na maauaji ya Kagame kwa hiyo anasikitika sana kwa hilo,pia kipindi Mandela ni rais hakuwa anajua kama yale mauaji yalikuwa makubwa na chokochoko zote za instability ya Great Lakes Regional zilifanywa na akina Kagame kwa hiyo alivogundua tu akawa hamfagiliii Kagame na serikali ya Rwanda

Kwa hili sio kweli na ndio maana ataenda rasmi yeye kumuanga kama mtu aliyemuthamini
na kumheshimu toka akiwa mtoto
 
Hizo safari za PaKa alikuwa akifanya kabla ya M23 kuchapwa mashariki ya DRC.... Sasa hatothubutu kutia mguu Afrika Kusini na Tz...... anafikiri jinsi ya kulipiza kisasi.... refer the PaKa (Mzee wa Visasi) statement.... ''I know where to hit him''...........................

Mkuu sio kweli kwani mpaka mida hii ndege bado iko hewani kuelekea south
kutoa heshima zake za mwisho kwa mzee Madiba.Jaribu kufatilia vyombo tofauti
vya habari.
 
Hizo safari za PaKa alikuwa akifanya kabla ya M23 kuchapwa mashariki ya DRC.... Sasa hatothubutu kutia mguu Afrika Kusini na Tz...... anafikiri jinsi ya kulipiza kisasi.... refer the PaKa (Mzee wa Visasi) statement.... ''I know where to hit him''...........................
Watanzania tunapenda empty porojo...unajua kuwa jeshi la Rwanda lina hisa kwenye MTN ya Afrika Kusini ambayo ni kampuni kubwa ya simu Afrika? Na kwa nini PK asitie mguu Tanzania? Tuacheni hisia...tunaonekana watupu kwa sababu ya porojo kama hizi ambazo mtu akiitwa kudhibitisha anashikwa kigugumizi.
 
Back
Top Bottom