Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 759
- 2,033
Kimaandiko, Muda wa kupigwa Chapa kwa Kulazimishwa bado haujafika japokuwa kwa sasa kuna watu wamekubali kupigwa kwa hiyari yaoChanjo imeshapatikana.
Ila kinachoendelea ndo kinanifanya namkubali msabato anavyoutabiri ule ufunuo Wa Yohana.
Bila chapa ya kuwa Umepata chanjo hautoki ndani.
NWO ndo mpango mzima afu kama kuna digital currency INA mana itakuwa ni hii Bitcoin mana hivi majuzi imepanda sana thamani.
Tutaitumia dunia nzima kama sarafu yetu wote afu ni cash less, haishikiki Iko tu ile electronically.