Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Kutokana na kuwepo kwa kampuni nyingi sana za maji ya kunywa na zile za kutengeneza pombe kali hili linapelekea competition kuwa kali zaidi sokoni.
Ili ku win soko lazima upunguze sana bei na hili linaweza ku compromise ubora wa bidhaa.
Ili kumlinda mteja, serikali kupitia wizara husika ya VB wangejadiliana na TBS na tume ya ushindani juu ya kusitisha zoezi la kutoa vibali vipya vya kutengeneza/ kuzalisha bidhaa za aina hii.