This is too much! Serikali isitoe vibali vipya vya kuzalisha maji ya kunywa na pombe kali.

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Kutokana na kuwepo kwa kampuni nyingi sana za maji ya kunywa na zile za kutengeneza pombe kali hili linapelekea competition kuwa kali zaidi sokoni.
Ili ku win soko lazima upunguze sana bei na hili linaweza ku compromise ubora wa bidhaa.
Ili kumlinda mteja, serikali kupitia wizara husika ya VB wangejadiliana na TBS na tume ya ushindani juu ya kusitisha zoezi la kutoa vibali vipya vya kutengeneza/ kuzalisha bidhaa za aina hii.
 
Kama umeshindwa ku compete kaa pembeni, hamia kwenye biashara nyingine. Kuwa mbunifu na soma hii kitu “marketing mix”
Ndo ivo. Maji mengi ya kunywa sasa hivi yana ubira wa chini. Yani ni bora kunywa maji ya Kandoro. Unakunywa maji utadhani umeyachimba kwenye kisima kilichopakana na shimo la choo!
 
Kama ni maji si uchemshe tu Jemedari? Ukuwa mazingira mbali na nyumbani, nunua unayoyaamini.
 
Kama umeshindwa ku compete kaa pembeni, hamia kwenye biashara nyingine. Kuwa mbunifu na soma hii kitu “marketing mix”
Ndo ivo. Maji mengi ya kunywa sasa hivi yana ubira wa chini. Yani ni bora kunywa maji ya Kandoro. Unakunywa maji utadhani umeyachimba kwenye kisima kilichopakana na shimo la choo!
 
Kwanini ushushe sana bei ili kucompete? Bei siyo factor pekee ya kuwin soko.
 
Kama umeshindwa ku compete kaa pembeni, hamia kwenye biashara nyingine. Kuwa mbunifu na soma hii kitu “marketing mix”
mwambie kijana sisi tunachoomba serikali ifuatilie tu uthibiti wa ubora ila makampuni yajae tu kikubwa ubora na kodi yetu tuipate
 
Wacha waongezeke watanzania sio wa jinga wa kutotambua ubora. Brands nyingi ambazo wameshindwa ku improve quality and price wamebaki majina tuu.
Kuna maji hivi sasa ukinywa bei ni rahisi na quality iko Pouwa kama Afya na Hill

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom