Elections 2010 This is too much kuhusu media news za leo..cheki heading hizi....okwad

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,026
MWANANCHI: CHADEMA YAMSHTAKI JK KWA WANANCHI
TANZANIA DAIMA: MKE WA Dr. SLAA AFUNGWA ''KUFULI''
TAZAMA: SLAA ADAIWA BILIONI MOJA
RAIA MWEMA: UNYUMBA WA DK SLAA WALIPUA SIRI NZITO
JAMBOLEO: DK SLAA ALIA KUPAKWA TOPE
UHURU KONGWE LA CCM: DK SLAA KORTINI KWA KUPORA MKE
NIPASHE: CHADEMA,HATUTAKI SIASA ZA MAJI TAKA
MAJIRA: CHADEMA YACHARUKA SAKATA LA DK SLAA
JAMANI HAWA CCM WAMEYANUNUA MAGAZETI YOTE .....HII INAONESHA DK SLAA NI TISHIO SANA KWA JK NA CCM YAKE...AU WE WAONAJE?????????????
 
Ngoja wampandishe Chat Dr Slaa kwa kumzungumzia sana...hata wale wasiomjua watamjua tu na mwishowe hao wasiomjua wataanza kujiuliza hivi kweli ni kweli hayo yanayozungumziwa juu ya Dr slaa au la.. mbona anaonewa sana... kwa kumzungumzia sana ... watu watampa Kura za Huruma na kuanza kumpigia kampeni za chini kwa chini... hii yote ni mipango ambayo ina positive effects kwa Dr Slaa na kama ccm wanataka kujichimbia kaburi na vyombo vyao vya habari hebu waache waendelee kwani hawajui nature ya binadamu mara nyingi ni kumuhurumia yule aneyeonewa...
 
Wala usihangaike best waache waendelee na kampeni zao chafu na itasaidia kumpandisha chati President elect Slaa. Watu washagundua mchezo mchafu wa hawa jamaa mafisadi!
 
Kama vp dawa ya moto ni moto tu.
Kwanini na CHADEMA na wao wasilipue mabomu kuhusu maisha ya JK kwani 'mambo yake' mengi yanajulikana.
 
Hakuna kitu kibaya kama huongelewi.

Lipumba sasa hivi kimyaa kama hayupo. Mwiba na kundi lake wamehaha lakini wapi,

Sasa hivi hata Mkwere haongelewi ni SLAA tu.

Hii habari ikitulia ndiyo watajuta kwa nini walimpandisha chart.

Acha waendelee, Yes ni SLAA tu kwa mabaya na mazuri....................
 
Ni kweli wanampandisha chati maana watu wameanza kuuliza kwanini wajadili maisha binafsi ya dr Slaa? Wengi wanasema wanamwandama Dr slaa labda wanamwogopa.
 
MWANANCHI: CHADEMA YAMSHTAKI JK KWA WANANCHI
TANZANIA DAIMA: MKE WA Dr. SLAA AFUNGWA ''KUFULI''
TAZAMA: SLAA ADAIWA BILIONI MOJA
RAIA MWEMA: UNYUMBA WA DK SLAA WALIPUA SIRI NZITO
JAMBOLEO: DK SLAA ALIA KUPAKWA TOPE
UHURU KONGWE LA CCM: DK SLAA KORTINI KWA KUPORA MKE
NIPASHE: CHADEMA,HATUTAKI SIASA ZA MAJI TAKA
MAJIRA: CHADEMA YACHARUKA SAKATA LA DK SLAA
JAMANI HAWA CCM WAMEYANUNUA MAGAZETI YOTE .....HII INAONESHA DK SLAA NI TISHIO SANA KWA JK NA CCM YAKE...AU WE WAONAJE?????????????

Yani hakuna tofauti na JAMBOFORUMS sasa JAMIIFORUMS ilivyopanda chati baada ya kutajwatajwa na mafisadi hasa BUNGENI.

MIMI NADHANI KUNA KILA SABABU YA KUWASHUKURU CCM KWA MATANGAZO YAO YA BURE!! TUOMBE WAENDELEE HIVIHIVI!!1
 
kama vp dawa ya moto ni moto tu.
Kwanini na chadema na wao wasilipue mabomu kuhusu maisha ya jk kwani 'mambo yake' mengi yanajulikana.

naamini wakati wake bado, wacha kwanza wamtangaze raisi mtarajiwa, kwani asilimia kubwa ya watanzania wanajua slaa ni nan, sasa basi wachache wasio mjua wakati wao ndio huu kwani naamini wadadisi na baada ya hapo watangamua slaa ni nani hasa.
 
Ngoja wampandishe Chat Dr Slaa kwa kumzungumzia sana...hata wale wasiomjua watamjua tu na mwishowe hao wasiomjua wataanza kujiuliza hivi kweli ni kweli hayo yanayozungumziwa juu ya Dr slaa au la.. mbona anaonewa sana... kwa kumzungumzia sana ... watu watampa Kura za Huruma na kuanza kumpigia kampeni za chini kwa chini... hii yote ni mipango ambayo ina positive effects kwa Dr Slaa na kama ccm wanataka kujichimbia kaburi na vyombo vyao vya habari hebu waache waendelee kwani hawajui nature ya binadamu mara nyingi ni kumuhurumia yule aneyeonewa...
oyeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom