Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,993
- 3,684
Wadau,
Naseme wazi kuwa nafurahishwa kuona au kusikia baadhi ya viongozi wetu/watumishi wa idara mbalimbali wanaofanya kazi zao kwa kujituma na ubunifu.
Kubwa zaidi ni kuweza kufikiri namna gani "wajiongeze" ili kufikia malengo..wazungu wanasema "thinking out of the box".
Mida hii nimeona habari ya channel ten juu ya hospitali ya Zakhem mbagala kukosa umeme kwa muda ,tukio ambalo limekemewa vikali na mh.Jaffo wa TAMISEMI na kutoa amri kuwa meya na mkurugenzi wa Temeke wafanye lolote ikiwemo hata kuleta standby generator lao hapo kisha wao wajue watafanyaje.
Trend ya mambo yanayoendelea serikalini hasa pale mawaziri wanapotembelea maeneo mbalimbali nakukuta uzembe kisha kutoa maelekezo na amri inaonyesha namna gani baadhi ya watumishi wa uma wamekuwa ni watu wa kufanya kazi kwa mazoea hadi waamrishwe.
Najiuliza huyu mkurugenzi wa Temeke ameshindwa hata kutumia akili ya kawaida kutumia alternative ya kupeleka hata generator dogo la muda pale hospitali Zakhem?
Sielewi baadhi ya wasomi wetu wamesoma shule za aina gani?hizihizi tulizosoma sisi? Hivi nchi hii imekuwa kama tumepata uhuru jana.
Kwa style hii ya ukosefu wa creativity na thinking out of the box na kuangalia maslahi binafsi naamini wengi wataendelea kusimamishwa kazi na kuamrishwa ingawa wao hawafurahii-hamna namna watumbuliwe tu maana wanakera!mnaaibisha professional zenu.