This is the true meaning of passion for the job

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1086445
 
🤣🤣🤣just imagine hapa kwetu🤣🤣🤣kwekwekwekwekwe."weee mtoto!?mbona huna adabu!!hebu toa guu lako hukoo!kwan me ndo nilikutuma upande mti!!?"🤣🤣🤣🤣
 
Natamani siku moja niwe na biashara yangu alafu niwe napata kipato kupitia biashara hiyo na huku nina elimu yangu ya udaktari nikitibu watu kwa bei karibu na bure kama msaada ili kuchangia huduma hiyo iendelee.
Ipo siku nitatoboa tu

The same out here...✌
 
You never know mkuu kwa Mungu kila kitu kinawezekana tu
Penye nia pana njia
 
Natamani siku moja niwe na biashara yangu alafu niwe napata kipato kupitia biashara hiyo na huku nina elimu yangu ya udaktari nikitibu watu kwa bei karibu na bure kama msaada ili kuchangia huduma hiyo iendelee.

Ipo siku nitatoboa tu
Mungu mwenyezi akujaalie kila lililojema ktk hitaji lako, uishi na kutenda hilo lililo chemka ktk nafsi yako na Mungu atakuonyesha njia njema ya kutenda hilo, ubarikiwe sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom