ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,552
- 44,711
Labda tu tuwaeleze ukweli wa Mambo duniani kote ili serikali iwe imara isiweze kutingishwa Ni lazima ihakikishe utunzwaji wa siri za ndani.tena nawaeleza ukweli HaKuna serikali fair kwa watu Kama hii ya Magufuli.mnasema kuwa eti ukiiponda serikali unakamatwa na polisi.
Acheni uongo wananchi wenzangu Uhuru wa kusema upo na haki yako raia.kwa katiba yetu usichoruhusiwa Ni kosa la uchochezi.hatuwezi kufanana na nchi nyingine kila nchi Ina katiba yake.mbona Kama hapa jamiiforum tunabishana ka hoja huo SI ndio uhuru.
Sio lazima majukwaa ya kisiasa na Tena mbona marekani wakishamaliza uchaguzi HaKuna Tena siasa.mnajipanga kwa uchague ujao.lakini kukosoa mmeruhusiwa.hebu fikiria hili katika awamu za nyuma huko wananchi walikuwa wakipigwa na hao polisi,Mambo hayo yalikuwa mabaya lakini awamu hii sijasikia polisi wakifukuzana na wamachinga,Wala kuua raia.kwa jamii yetu matukio mengi ya mauaji Ni kwa sababu mbili aidha kwa Imani za kishirikina au uhalifu.
Yote haya wanafanya wananchi.Msiichafue serikali hii iko busy na kazi kwanza haiogopi hata upinzani kwa sababu Ina uhakika haiwezi kushinda kwa chini ya asilimia 70.huo ndo ukweli
team ya washindi