This is the moment of Truth

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
11,240
2,000
Labda tu tuwaeleze ukweli wa Mambo duniani kote ili serikali iwe imara isiweze kutingishwa Ni lazima ihakikishe utunzwaji wa siri za ndani.tena nawaeleza ukweli HaKuna serikali fair kwa watu Kama hii ya Magufuli.mnasema kuwa eti ukiiponda serikali unakamatwa na polisi.

Acheni uongo wananchi wenzangu Uhuru wa kusema upo na haki yako raia.kwa katiba yetu usichoruhusiwa Ni kosa la uchochezi.hatuwezi kufanana na nchi nyingine kila nchi Ina katiba yake.mbona Kama hapa jamiiforum tunabishana ka hoja huo SI ndio uhuru.

Sio lazima majukwaa ya kisiasa na Tena mbona marekani wakishamaliza uchaguzi HaKuna Tena siasa.mnajipanga kwa uchague ujao.lakini kukosoa mmeruhusiwa.hebu fikiria hili katika awamu za nyuma huko wananchi walikuwa wakipigwa na hao polisi,Mambo hayo yalikuwa mabaya lakini awamu hii sijasikia polisi wakifukuzana na wamachinga,Wala kuua raia.kwa jamii yetu matukio mengi ya mauaji Ni kwa sababu mbili aidha kwa Imani za kishirikina au uhalifu.

Yote haya wanafanya wananchi.Msiichafue serikali hii iko busy na kazi kwanza haiogopi hata upinzani kwa sababu Ina uhakika haiwezi kushinda kwa chini ya asilimia 70.huo ndo ukweli
team ya washindi
 
Tumbo

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
282
500
Msukule mwingine huyu hapa, akili yako aiko huru wewe mwenyewe unajua ulichoandika ni uongo ila kwa kuwa unatumikia tumbo lako basi sawa.

Hivi huko ccm akili zenu wanazifanyaje? Nimekuhurumia sana ndugu, bado tuna safari ndefu sana ya kutoa elimu ya uraia kwa watu wa sampuli yako ili mjitambue na kulikomboa taifa letu linaangamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,743
2,000
Hivi wakati unasoma darasa la kwanza hadi la tatu hukufundishwa kuandika kwa nukta, paragraph, alama za mkato alama za kuuliza n.k? hebu jifunze kuandika kwanza ndo ulete hoja yako ambayo naona haina mashiko.
 
RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
970
1,000
iri za ndani ni zipi!?. Ni pango la kuwaficha wenƴe maɗaraka wanapofanƴa uhalifu!

Lissu alipopigwa risasi alikuwa anaandamana!?

Si unataarifa kuwa wamiliki JF wamepelekwa mahakamani ili waruhusu udukuzi!?

Uache kuhalalisha uhalifu/mauaji kwa kulinganisha na nchi nƴingine!
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,332
2,000
Labda tu tuwaeleze ukweli wa Mambo duniani kote ili serikali iwe imara isiweze kutingishwa Ni lazima ihakikishe utunzwaji wa siri za ndani.tena nawaeleza ukweli HaKuna serikali fair kwa watu Kama hii ya Magufuli.mnasema kuwa eti ukiiponda serikali unakamatwa na polisi.

Acheni uongo wananchi wenzangu Uhuru wa kusema upo na haki yako raia.kwa katiba yetu usichoruhusiwa Ni kosa la uchochezi.hatuwezi kufanana na nchi nyingine kila nchi Ina katiba yake.mbona Kama hapa jamiiforum tunabishana ka hoja huo SI ndio uhuru.

Sio lazima majukwaa ya kisiasa na Tena mbona marekani wakishamaliza uchaguzi HaKuna Tena siasa.mnajipanga kwa uchague ujao.lakini kukosoa mmeruhusiwa.hebu fikiria hili katika awamu za nyuma huko wananchi walikuwa wakipigwa na hao polisi,Mambo hayo yalikuwa mabaya lakini awamu hii sijasikia polisi wakifukuzana na wamachinga,Wala kuua raia.kwa jamii yetu matukio mengi ya mauaji Ni kwa sababu mbili aidha kwa Imani za kishirikina au uhalifu.

Yote haya wanafanya wananchi.Msiichafue serikali hii iko busy na kazi kwanza haiogopi hata upinzani kwa sababu Ina uhakika haiwezi kushinda kwa chini ya asilimia 70.huo ndo ukweli
team ya washindi
Ulichoandika hakina Ukweli.
Huna tafiti zozote.

Na kwakuongezea
Unapotumia neno 'SIRI' Unaifanya Serikali ionekane inafanya uhalifu fulani.

Lugha ya Serikali Ni transparency and democracy. Hayo Mambo ya Siri yanatoka wapi?
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,332
2,000
Well said mkuu
iri za ndani ni zipi!?. Ni pango la kuwaficha wenƴe maɗaraka wanapofanƴa uhalifu!

Lissu alipopigwa risasi alikuwa anaandamana!?

Si unataarifa kuwa wamiliki JF wamepelekwa mahakamani ili waruhusu udukuzi!?

Uache kuhalalisha uhalifu/mauaji kwa kulinganisha na nchi nƴingine!
 
luciferoriginal

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
498
500
Asilimia 99
Upinzani totally dead
IMG_5518.JPGSent using Jamii Forums mobile app
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,785
2,000
Labda tu tuwaeleze ukweli wa Mambo duniani kote ili serikali iwe imara isiweze kutingishwa Ni lazima ihakikishe utunzwaji wa siri za ndani.tena nawaeleza ukweli HaKuna serikali fair kwa watu Kama hii ya Magufuli.mnasema kuwa eti ukiiponda serikali unakamatwa na polisi.

Acheni uongo wananchi wenzangu Uhuru wa kusema upo na haki yako raia.kwa katiba yetu usichoruhusiwa Ni kosa la uchochezi.hatuwezi kufanana na nchi nyingine kila nchi Ina katiba yake.mbona Kama hapa jamiiforum tunabishana ka hoja huo SI ndio uhuru.

Sio lazima majukwaa ya kisiasa na Tena mbona marekani wakishamaliza uchaguzi HaKuna Tena siasa.mnajipanga kwa uchague ujao.lakini kukosoa mmeruhusiwa.hebu fikiria hili katika awamu za nyuma huko wananchi walikuwa wakipigwa na hao polisi,Mambo hayo yalikuwa mabaya lakini awamu hii sijasikia polisi wakifukuzana na wamachinga,Wala kuua raia.kwa jamii yetu matukio mengi ya mauaji Ni kwa sababu mbili aidha kwa Imani za kishirikina au uhalifu.

Yote haya wanafanya wananchi.Msiichafue serikali hii iko busy na kazi kwanza haiogopi hata upinzani kwa sababu Ina uhakika haiwezi kushinda kwa chini ya asilimia 70.huo ndo ukweli
team ya washindi
Kama hakuna haja.ya mikutano na maandamano ya kisiasa katiba na sheria za vyana vya siasa vitamke hivyo siyo kutoka kichwani kwa mtu. Hapa katiba na sheria zibaruhusu hivyo kuzuia au kutoa masharti nje ya katiba na sheria ni kosa siyo suala la mbona Marekani. Hatuwezi kuishi kwa MBONA ila tuishi kwa mujibu wa katiba na sheria za vyama. Hawa akina Pole pole na Pinda wanaofanya maandamano na mikutano ya hadhara ni Wamarekani? Je ni wabunge katika maeneo wanayofanyia mikutano na maandamano hata tukifuata katiba ya kichwani kwa Magufuli?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngalanga

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,456
2,000
Labda tu tuwaeleze ukweli wa Mambo duniani kote ili serikali iwe imara isiweze kutingishwa Ni lazima ihakikishe utunzwaji wa siri za ndani.tena nawaeleza ukweli HaKuna serikali fair kwa watu Kama hii ya Magufuli.mnasema kuwa eti ukiiponda serikali unakamatwa na polisi.

Acheni uongo wananchi wenzangu Uhuru wa kusema upo na haki yako raia.kwa katiba yetu usichoruhusiwa Ni kosa la uchochezi.hatuwezi kufanana na nchi nyingine kila nchi Ina katiba yake.mbona Kama hapa jamiiforum tunabishana ka hoja huo SI ndio uhuru.

Sio lazima majukwaa ya kisiasa na Tena mbona marekani wakishamaliza uchaguzi HaKuna Tena siasa.mnajipanga kwa uchague ujao.lakini kukosoa mmeruhusiwa.hebu fikiria hili katika awamu za nyuma huko wananchi walikuwa wakipigwa na hao polisi,Mambo hayo yalikuwa mabaya lakini awamu hii sijasikia polisi wakifukuzana na wamachinga,Wala kuua raia.kwa jamii yetu matukio mengi ya mauaji Ni kwa sababu mbili aidha kwa Imani za kishirikina au uhalifu.

Yote haya wanafanya wananchi.Msiichafue serikali hii iko busy na kazi kwanza haiogopi hata upinzani kwa sababu Ina uhakika haiwezi kushinda kwa chini ya asilimia 70.huo ndo ukweli
team ya washindi
Truth based on speculations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,281
2,000
Thread yako ya tatu hii lakini unaandika kitu chenye maudhui yale yale , kwa bahati mbaya kote unaambulia patupu.

Dr Lissu atawatoa nnyaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom