This is serious, si jambo la kufumbia macho vinginevyo tutajuta milele

Mpendwa

Member
Jun 9, 2011
56
11
Mpaka sasa CCM wametuia yafuatayo ili kushinda igunga

1. Kumtumia rais mstaafu (Mkapa)
2.Usalama wa taifa
3.Polisi
4.Bakwata
5.Mawaziri
6.Rostam
7.kuhonga chakula kwa wanaigungai
8.Kuzuia wapiga kura wasio na vitambulisho kwa baadhi ya maeneo esp kwenye upinzani
9. Kutumia zaidi ya Tsh Bilioni 6
10. Kuwatumia mamluki toka kanda ya ziwa
11. Kutangaza siku moja kabla ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa wakati ni uzushi mtupu. nk

SASA WADAU kama hila zote hizi zitaendlea kutumika si itafika mahali watu watatumia pesa zao kuliteka taifa hili? nazidi kuona giza mbele ya Tanzania yetu hii. Sijui wenzangu mnalionaje hili?

MY TAKE: pesa, nguvu ya dola na hata kuwa tayari kuua ili mtu ashinde uchaguzi vinazidi kuinyemelea nchi yetu, where are we heading to?
 
"Where are WE heading to?"

I wish this question is not in 'present continuous tense'... or rhetorical
 
Mpaka sasa CCM wametuia yafuatayo ili kushinda igunga

1. Kumtumia rais mstaafu (Mkapa)
2.Usalama wa taifa
3.Polisi
4.Bakwata
5.Mawaziri
6.Rostam
7.kuhonga chakula kwa wanaigungai
8.Kuzuia wapiga kura wasio na vitambulisho kwa baadhi ya maeneo esp kwenye upinzani
9. Kutumia zaidi ya Tsh Bilioni 6
10. Kuwatumia mamluki toka kanda ya ziwa
11. Kutangaza siku moja kabla ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa wakati ni uzushi mtupu. nk

SASA WADAU kama hila zote hizi zitaendlea kutumika si itafika mahali watu watatumia pesa zao kuliteka taifa hili? nazidi kuona giza mbele ya Tanzania yetu hii. Sijui wenzangu mnalionaje hili?

MY TAKE: pesa, nguvu ya dola na hata kuwa tayari kuua ili mtu ashinde uchaguzi vinazidi kuinyemelea nchi yetu, where are we heading to?

Nyie shangaeni ya Igunga wakati Rost-Tamu amemuhamishia mwanasheria wake wa Vodacom (Aliyemrithi Mr. Megawatt) kuchukua position ya Legal Director Tanesco ili waendelee kushinda kesi zote za Richmond/Dowans na kusaini mkataba wa umeme wa "DHARURA" na Symbion wa "MIAKA ISHIRINI (20)" sasa jiulize hiyo dharura ya 20 years imeanza lini?? Ila kwa Tanzania yote yamewezekana... Nawasilisha
 
hawa ccm wana wataalamu na RA ni muhimili muhimu katika chama na anafahamu haya! Hivyo kwa kutumia wataalamu wao wamekwisha forecast kuwa Watz wanaweza kuanza kuamka labda miaka 20 ijayo.
Sasa ni jukumu la watz kukumbushana kuwa "hatujalala" lakini kuendelea kukaa kimya inamaanisha kuwa tumelala na hao wafanyakazi wataendelea 'urithishana' mpaka messengers!
Nyie shangaeni ya Igunga wakati Rost-Tamu amemuhamishia mwanasheria wake wa Vodacom (Aliyemrithi Mr. Megawatt) kuchukua position ya Legal Director Tanesco ili waendelee kushinda kesi zote za Richmond/Dowans na kusaini mkataba wa umeme wa "DHARURA" na Symbion wa "MIAKA ISHIRINI (20)" sasa jiulize hiyo dharura ya 20 years imeanza lini?? Ila kwa Tanzania yote yamewezekana... Nawasilisha
 
Igunga imepita... sasa ni kuangalia 2015,

Sioni hayo kama yatatokea kwani uchaguzi utakua nchi nzima na sio Igunga tu
 
Back
Top Bottom