This is not football!!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
351
There is no justification for the behaviour of these Rangers fans, once more the image of our beautiful game has been dented by few thugs, they deserve to rot in jail....

[media]http://www.youtube.com/watch?v=m5YxtkhKTFY[/media]
 
Hawa jamaa wamepinda akili. Sio mashabiki. Kuna wengine huwa wanapigiana simu kabisa wapigane wenyewe kwa wenyewe kabla au baada ya mechi. Damn, some peeps got weird hobbies.
 
Hawa jamaa wamepinda akili. Sio mashabiki. Kuna wengine huwa wanapigiana simu kabisa wapigane wenyewe kwa wenyewe kabla au baada ya mechi. Damn, some peeps got weird hobbies.
Nzoka, wewe supporter wa Millwall FC nini?.... naona mambo ya kupigiana simu kwa ajili ya battle wayajua ati! lol..
 
Nzoka, wewe supporter wa Millwall FC nini?.... naona mambo ya kupigiana simu kwa ajili ya battle wayajua ati! lol..

Ha ha...ebanae nafikiria ingekuwa vipi scousers wangeenda Moscow....Ila vitendo vya kishenzi sana hivi.
scousers.jpg
 
As a resulf of this, Council ya jiji la Manchester wamesema hawataonyesha final ya champions lg kwenye big screens za mitaani na hata kama Man U watashinda hawatoruhusiwa ku parade vikombe vyao mtaani kwenye basi la wazi kama ambavyo imekuwa ni desturi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom