This is my last born show me yours

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525

 

Attachments

  • 20211108_111941.jpg
    20211108_111941.jpg
    66.3 KB · Views: 7
Unachomfanyia mtoto sio kabisa. Hii mitandao mkuu kuna mabazazi ya kila aina mlinde mwanao badala ya kufanya showoff za kijinga
Umeniwahi mkuu. Kwa dunia ya leo kumuanika mtoto kwenye mitandao ni kumuweka katika kinywa cha hatari. Watu wana njia nyingi za kuweza kutumia hiyo picha kwa maovu ama kutumia hiyo picha kukudhuru wewe mwenyewe muhusika.

Sote tunapenda watoto zetu lakini kwa sehemu kama hizi zenye kutumia majina feki na kutwa watu kupishana kauli, sio pahala muafaka kuweka watoto zetu. Kama una hamu ya kuweka picha ni bora uweke yako mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom