This day wamepotosha picha kumfanya rais aonekane mjinga?

Insurgent

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
469
0
Angalia picha hizi mbili.
Yenye maandishi sawa ni ya CITIZEN na yenye namba zisizoendana na maandishi ni ya THISDAY. Yote ni magazeti ya 9/Oct/2007.
 

Attachments

 • Thisday-deceiption.JPG
  File size
  415.2 KB
  Views
  395
 • The Citizen - truth.JPG
  File size
  446 KB
  Views
  340

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,814
2,000
Mbona ya thisday ndio inaonekana vizuri wakati hiyo citizen inaonekana kabisa kama namba imefutwa?

Majira pia wana picha kama ya thisday. Nashindwa kuelewa kwanini
unaona thisday wamepotosha wakati magazeti mawili yametoa picha sawa?
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,082
0
wajemeni,
kuuriza sio ujinga. hivi hiro rikalatasi rikubwa hivyo, huwa wanaripitishagaje pare kwenye kaunta??
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,259
2,000
haahahah... ndiyo maana inaitwa "dummy check"..

Hii hapa picha nyingine toka kwa michuzi ikumuonesha huyo Mzungu na angalia mikono yake na posture yake kuonesha kuwa ni picha mbili tofauti:

jk.jpg
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,397
2,000
Mbona ya thisday ndio inaonekana vizuri wakati hiyo citizen inaonekana kabisa kama namba imefutwa?

Majira pia wana picha kama ya thisday. Nashindwa kuelewa kwanini
unaona thisday wamepotosha wakati magazeti mawili yametoa picha sawa?
Hata mimi sioni tatizo lolote katika picha ya THIS DAY...Oh well, ukipenda chongo utaita kengeza...:)
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,865
2,000
4019.JPG

RAIS Jakaya Kikwete akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 300,000 sawa na zaidi ya Shilingi za Tanzania Milioni 400 kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) kwa nchi ya Tanzania na Uganda Bw, John McIntire Dar es Salaam jana. (Picha na Rajabu Mhamila)

100110.jpg

President Jakaya Kikwete receives cheque for USD 200,000 from the Leader of CEO Roundtable, Ali Mufuruki during the launch of CEO Scholarship fund in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Tryphone Mweji)​
 

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,535
2,000
Yote tisa kumi ni kwamba haiwezekani cheque moja ikakabidhiwa na watu wawili tofauti!..

Kisha ajabu ni kwamba cheque hizi zinafanana herufi kwa herufi hadi mhuri ulipowekwa ktk cheque!... Mnnnnh! sijui niamini lipi hapa pamoja na kwamba hiyo 2 (mbili) ktk 200,000 inaonekana kabisa haikwenda na mwandiko mwa mwandishi wa cheque hii!
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,408
2,000
Hata kama wakimhonga mabilioni ili kukana kuwa hakuwepo katika hiyo picha, kama ni kweli, huyo Mzungu hapo juu atakuja kueleza yote yale yaliyotokea na kufikia yeye kuonekana katika hiyo picha.

Restaging events can be justified, but in my opinion, it must be explained when nationalistic interests are at stake. If photo editing was used in order to justify the mistake seen in earlier photos, then it should as well be explained. Cover-ups are immoral, pure and simple. And what is worse, Technological cover-ups are always exposed soon or later by superior technologies!

SteveD.
 

YournameisMINE

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
2,242
1,225
Naona anatafutwa "mchawi" hapo......sisi wakina "mie" tunaenda na picha ya awali!! ....kweli hizi ni "mind games"!!!!!......too lil' too late massege sent! Asante sana kwa gazeti la Majira........bora wakubali yaishe maana tutatafuta ma-specialist wa picha "shimo" lizidi kuwa refu.
 

255Texter

Senior Member
Aug 31, 2007
150
170
Ukweli ni kwamba Citizen na IPPMEDIA ambazo zimeshajidhihirisha kuwa ni mawakala wa CCM (that's me saying) wamejaribu kubadilisha bila mafanikio makosa ya kiufundi ambayo yamedhihirisha kwamba rais wetu hayupo makini hata kwenye mikataba anayosaini au anayoidhinisha isainiwa - mfano mkataba wa BUZWAGI. Hii yote inadhihirisha uozo wa serikali na kushindwa kwao kujibu tuhuma za BUZWAGI-GATE, BOT na nyingine nyingi.
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,817
0
hizo ni hundi mbili tofauti kutoka kwa watu wawili tofauti, kama picha zinavyojionyesha.

moja ipo sahihi maneno na nambari zilizoandikwa, na ya meneja wa world bank tz and uganda ndio imekosewa. .....ambayo inazungumziwa hapa

acha kuwapa this day jina baya bure, makosa ni ya wapambe wa jk na yeye mwenyewe kuwa hakuipitia
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,540
2,000
Kama wanakana na hili kuwa Thisday na Majira wamepotosha, CITIZEN wako sahihi basi waTZ tumekwisha. Jambo lipo wazi, CITIZEN inaonekana kabisa wame edit ile picha kuifanya ile 2 iendane na maneno. why hawa watu wanapenda kukataa hata vitu vilivyowazi. Huyu Mwandishi wa CITIZEN anaonekana ni Corrupt na yupo kwa masilahi ya wanasiasa. Habari ipeleke kama ilivyo.

Nasisitiza Thisday and Majira were correct, au mnataka the citizen tuache kuziamini habari zenu hali itakayopelekea tusinunue magazeti yenu yote. acheni kuendekeza njaa na kujipendekeza mnatunyima haki zetu kupata matukio kama yalivyo huku tukilipa hela zetu kununua magazeti yenu. ACHENI UPOTOSHAJI WA HABARI
 

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,814
2,000
Na sisi JF wakati mwingine tunachemsha kama hao wasaidizi wa JK.

Ukisoma vizuri inaonyesha kabisa kwamba picha ya IPP ni picha tofauti na cheaque ni tofauti na ile ya yule mzungu wa World Bank. Rais alikabidhiwa cheques nyingi tu na watu tofauti.

Mhariri wa Citizen ni corrupt kama alivyoandika Bill hapo juu. Kazi ya vyombo vya habari ni ku report habari na sio kutengeneza habari. Huyo mwandishi kaamua kujitengenezea cheki yake kwa kufuta ile 300,000 na kuifanya ionekane kama 200,000. Hiyo ni kinyume na sheria za uandishi wa habari.
 

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
1,225
mie nadhani kwa mikataba mikubwa hasa ya madini awe anasign Rais ili aweze kuwajibika moja kwa moja,ila kwa style hii muungwana ataendelea kusisitiza kuna watu wanampotosha,Lini atakuwa na press conference?
 

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,808
1,250
This day wamepotosha picha kumfanya rais aonekane mjinga?

Angalia picha hizi mbili.
Yenye maandishi sawa ni ya CITIZEN na yenye namba zisizoendana na maandishi ni ya THISDAY. Yote ni magazeti ya 9/Oct/2007

Hii ni aibu kubwa kwa JF. Haiwezekani tukashindwa kutofautisha picha mbili tofauti, moja ina "MZUNGU" na JK na ngingine ina "Mwafrika" na JK. Lakini pia hii picha iliyoonyesha kukosewa kwa cheki, iko katika thread nyingine kama alivyoonyesha Mwanakijiji kwamba baadhi ya hoja zimeelekezwa kule. Nashukuru Gaijin kwa kujibu.....

hizo ni hundi mbili tofauti kutoka kwa watu wawili tofauti, kama picha zinavyojionyesha.

moja ipo sahihi maneno na nambari zilizoandikwa, na ya meneja wa world bank tz and uganda ndio imekosewa. .....ambayo inazungumziwa hapa

acha kuwapa this day jina baya bure, makosa ni ya wapambe wa jk na yeye mwenyewe kuwa hakuipitia
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,865
2,000
inawezekana kuwa ni cheki moja, na hao watu wawili au zaidi walipenda kupiga picha ya kushika cheki hiyo na JK
 

G.MWAKASEGE

Senior Member
Jun 29, 2007
153
0
Unajua nahisi kilichotokea ni kwamba baada ya kuona wamefluku wakaenda edit ile cheki then waliporudi wakaona kumsimamisha mzungu wataonekana vituko ndo wakaamua waue soo kwa mwafrika mwenzao ie Mafuruki.
Hii ndo TZ ya leo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom