This country bwana too much zingzong

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,270
16,286
Hii nji kwa sasa naona kuna makampuni yameamua kutuibia live bila chenga?nipo vichochoroni napata tusker mara mtu ananishtua kuwa tusker wana mashindano c nikajitosa kutuma namba jinsi maelekezo yanavyosema,cha ajabu ukituma mara zote za kwanza zinadai umekosea hasira imenikamata vbya coz hela kwenye simu imekata af sjaambulia chochote! Huu ni wizi mkubwa yan hadi bia zimenichefua
 
Wafanya biashara wote wa mitandao hapa nchini ni mafisadi wakisaidiana na watawala wetu.
 
Haya mashindano yalipoanza kuwekwa kwenye bia walinichefua. Kwa kawaida ilikuwa ni kwenye soda, sasa nimehamia kwenye valuu. Wakivamia na huku sijui ntafanyaje.
Drink beer, save water!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom