Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,229
- 1,141
Naomba msaada kulingana na kichwa cha habari!
Natumia win 8.1, mwanzoni apps zote zilikuwa zinafunguka (kufanya kazi kama kawaida). Lakini kwa sasa kuna bahadhi ya apps hazifunguk.
Je, tatizo linaweza kuwa nini?
Nifanyeje?
Natanguliza shukrani.
Natumia win 8.1, mwanzoni apps zote zilikuwa zinafunguka (kufanya kazi kama kawaida). Lakini kwa sasa kuna bahadhi ya apps hazifunguk.
Je, tatizo linaweza kuwa nini?
Nifanyeje?
Natanguliza shukrani.