Third Graduation ceremony at St Joseph college of Information Technology:Hawa ndio vipanga wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Third Graduation ceremony at St Joseph college of Information Technology:Hawa ndio vipanga wao

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ngalikivembu, Aug 4, 2012.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Agosti 1, 2012 kulikuwa na mahafari ya tatu ya chuo hicho.Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ndugu Emmanuel Nchimbi. Katika wanafunzi 19 waliohitimu watatu walipata First class.Wa kwanza alipata CGPA ya 4.7, wa pili 4.5 na wa tatu 4.4. Huyu wa kwanza alipewa laptop,cheti na ngao. Wa pili alipewa cheti ngao na vitabu na wa tatu alipewa cheti. Tunategemea wazitumie pia kwenye kazi ili ilete reflection nzuri ya GPA zao.
   

  Attached Files:

 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ukitaka korofishana na engineer yeyote ask him his GPA so big up kwa jamaa
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  big UP!!!
   
 4. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Saafi,ila kaonyesheni kwa vitendo hizo firstclass zenu,ata kama vipi muombe kwenye vyuo kama saut kama mata
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyo wa 4.7 alikua anasomea nini??
   
 6. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa vyuo vya private bana upo kwenye G.P.A wala hawabanii!!
   
 7. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona wabahili hivyo?wamempa "kilaptop kiduchu" au macho yangu!!!
   
 8. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kama ni cha dar huo uongo kwani leo tar 4 mwezi 8 2012 wamefanya graduu yao ya 4 na mgeni ramsi alikuwa mh.John Pombe Magufuli
   
 9. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Wote hawa ni Bsc.Computer Science
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mbona tarehe ya kwenye picha inaonesha ilikuwa tarehe 1 /8 / 2012.??
   
 11. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ulitaka ionyeshe tarehe ngapi?
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  amesema leo .. na leo si tarehe moja ...

  4th august ! ndio nilitaka ioneshe .. do you have any problem with that....?
   
 13. S

  SAIGODI Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  da! Huyo jamaa mkal! He's a role model 2 others,big up!
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Hongera zao. Nafikiri hapo ni Songea.
   
 15. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nadhani itakuwa Songea coz ya songea sijaisikia na sijui ilishafanyika au la lakini cha dar imefanyika tar 4 mwezi 8 2012
   
 16. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu,hebu rudia kusoma upya vizuri,kwenye sentensi ya kwanza ya mwanzisha uzi.
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  nilikuwa na tatizo na heading yake ambayo imebadilishwa nadhani mods wamebadilisha but aliandika imefanyika leo!

   
 18. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  usicheki ukubwa chek uwezo!
   
 19. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2014
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  4.7,4.5,4.4 ,kiini macho hiki! Chuo kinafanya biashara hiki hamna kipya
   
Loading...