Thinkpad t470s imevujia wino wapi naweza kupata kioo chake?

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
418
500
Mwenye uelewa au msaada anisaidie sehemu ambayo naweza kupata kioo cha hii laptop

Ni Lenovo ThinkPad T470s touchscreen
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,961
2,000
Hata kama ni dar nielekeze kuna mtu huko anaweza kunichukulia
70% ya vioo ni kutoka machine nyingine na si dukani, kama unakubaliana na hili nitakuwekea namba lkn test inabidi ifanyike kabla ya kioo kusafirishwa, otherwise utaletewa kimeo.

Kama una ndugu hapa msafirishie hiyo machine na anaweza kwenda pale karume complex kuna wataalamu kibao.
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,046
2,000
Za touchscreen ni jau kupata. Ingikua bila touch screen ungepata chap sababu vinaingiliana sana. Mkanda wa display upo tofauti.

Pia kupata kioo cha 1080p or 1440p hapa bongo ni kazi sana na ukikipata unakuta ni bei mbaya. T470s inakioo cha 1080p or 1440p. Kuwa makini mafundi wasije wakukupachikia cha 768p maana ni quality mbovu.

Mm niliagiza cha 1080p (non touch) kwa ajili ya Thinkpad T450 yangu kwa 80,000 eBay kikaja ndani ya week 3. Ukikosa agiza tu nje ndio itakua bei rahisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom