Thinking loud

Nov 11, 2008
782
38
1. Hawa watu ambao huwa nikiangalia profile yangu nakuta wamenivisit nini wanataka kujua kuhusu mimi?

2.

3. Kati ya mahusiano, mapenzi urafiki, michezo na siasa forum gani zina wapenzi wengi na ni kwanini?

4. Just thinking loud, hivi itakuwaje kama kila mtu atapewa uwezo wa kujua mwenzake anawaza nini kwa wakati huo???? SIPATI PICHA HUKO MAKANISANI WAKATI WA MAHUBIRI.
 
Last edited:
Mimi nitajadili hilo la namba moja. Ningependa uwaweke hapa hao unaosema wamevisit profile lako, kwani mimi nikisema nikawaone hao watu basi mmoja atadrop kutoka kwenye list ya "the last ten visitors" na badala yake mimi nitaongezwa kwenye hiyo list, halafu utarudi kulaumu kwamba na mimi ninachunguza kitu gani huko !!!
 
Teheee it was just thinking na SIO KULAUMU, sawa SINKALA, otherwise na wewe nakukarubisha.
 
Back
Top Bottom