Thinking Aloud: Hongera JF kulisaidia Taifa, "Atakuwa anaingia JF in person na kutusoma!". 2021 let's be more responsible, more strategic

Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
Asante mkuu kwa kuonyesha ukweli.
Ni vizuri viongozi kupata mambo yanayotokea mitaani au hata kwenye taasisi, mapema kabla habari hazijavalishwa nguo na watendaji wahusika.

Kuzivalisha nguo habari, badala ya kuzifikisha zikiwa uchi au raw kama wanavyosema waswahili wa London, kunasaidia kufichua uhalisia wa habari zenyewe.

Hapa nampongeza sana Maxence Mello na jopo lake la JF maana wanatenda haki kwa umma wa kiTanzania.
Member humu akisema kuna mapungufu mahali, hiyo habari ikaonwa na kiongozi, na hatua stahiki kuchukuliwa, mbona sasa si ndiyo kuisaidia serikali moja kwa moja?

Kwa wenzetu habari ni mhimili wa nne.
 
Mkuu huwezi amini,Kabla ya wale maafisa 22 wa TRA kusimamishwa ,mimi ndo nilitoa mwongozo huo hapa hapa jf!!. Baada ya siku chache wazo limefanyiwa kazi japo wengi waliamini ni kama najifurahisha.
Pili sakata la wakurugenzi,limetokea hapa hapa jukwaani.
Yani mambo mengi yanayofanyiwa kazi through jf.

#jr

Usiishie hapo mkuu
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
Wastaafu hustaafu moja kwa moja na kupumzika kwa kazi ngumu walizofanya muda mrefu lakini Pascal Mayalla alistaafu na kutuaga kwa mbwembwe akituachia masikitiko kuwa tutamkosa mwanahabari nguli ingawa tulijua anatafuta uteuzi ambao hawezi kupata akibaki humu JF. Ingawa mteuzi bado anaendelea na teuzi labda ameona uwezekano wa yeye kuteuliwa haupo, licha ya kuunga mkono juhudi muda mrefu, sasa ameamua kurudi kundini. We have heard your thinking aloud and hoping those in power have also heard your thinking and will take the necessary steps to visit JF without jeopardizing members and the Forum but make use of whatever they glean. Welcome back, Pascal njaa bado ipo, we have been missing you and your wisdom.
 
Naunga mkono hoja. Suala lingine ambalo JF ililishikia bango ni Makonda kuongoza kundi la WASIOJULIKANA ambao walikuwa wanateka na kuua. Mkuu amesikia, Makonda kakosa kazi halafu hata mauaji ya wananchi na utekaji vimepungua.

Kingine ni Kigwangalla kutokuwa Waziri. Huyu JF tulikuwa tunapiga left , right and centre kuwa hafai kuwa Waziri.
 
Tunao wawakilishi wengi makini bungeni wanatosha kutusemea,na tushukuru Mungu safari hii tumepata wabunge wengi kutoka chama makini Chama Cha Mapinduzi .

ukimuona mtu anakesha Jf kuizungumzia serikali na kuitukana tambua huyo ana interest zake binafsi na hao ndio vibaraka wa mabeberu.

Wengi wao hapa Jf wamekuwa kama mbwa koko wanabweka bweka tu hawana madhara pia tuna wale waliokosa teuzi wanakuja kujificha humu Jf kulalama🤔🤔🤔🤔

Hakuna watoa rushwa, wezi wa kura na wamwaga damu wanaweza kuwa wawakilishi wazuri, hasa hasa bunge lenyewe linapokuwa kibogoyo. Zaidi ya 50% ya wabunge wa ccm wamepata nafasi za kugombea kwa kutoa rushwa, na hayo tumeyaona kwa macho yetu. 60% ya wabunge wa ccm wametangazwa washindi kwa kura ambazo hazioani na matokeo halisi ya huko vituoni. Wangalau 20% tu ndio wako huko bungeni kwa ridhaa halisi ya wananchi, nao hawana nguvu ya maamuzi. Unapokuwa na bunge lililopatikana kwa njia ya kihalifu, unategemea ubora gani?
 
Mkuu huwezi amini,Kabla ya wale maafisa 22 wa TRA kusimamishwa ,mimi ndo nilitoa mwongozo huo hapa hapa jf!!. Baada ya siku chache wazo limefanyiwa kazi japo wengi waliamini ni kama najifurahisha.
Pili sakata la wakurugenzi,limetokea hapa hapa jukwaani.
Yani mambo mengi yanayofanyiwa kazi through jf.

#jr

Unfortunately, wanachota busara humu bila acknoledgement kwa wachangiaji wa JF!!! Mambo mengi serikali inachota humu JF na kuyafanyia kazi!!! Vilaza wengi walioteuliwa na JIWE wanafaidika sana na michango ya JF katika utendaji wao.
 
Nini maoni yako kuhusu viboko ? DC anaamua tuchapwe viboko, kazi ya Mahakama ni nini ? Na je naweza kumshitaki DC kwa viboko au kwa kuwa anamuwakilisha Raisi wa nchi basi ana kinga ? Ikumbukwe kabla ya kuja Muzungu tulikuwa hatuna utamaduni wa kuchapana viboko, ukatili huu uliletwa na Muzungu, Nyerere akauchukuwa na kuundeleza, siyo utamaduni wetu, ...
Tena na hayati Mwalimu akawatandika viboko akina Samwel Sitta na wenzie walokuwa vinara wa mgomo pale UDSM.

Hilo la huyo DC kakosea na anastahiki kushtakiwa mahakamani.
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
Mkuu, mimi pia nakupongeza kwa jitihada zako kubwa katika kuelimisha jamii khasa hii ya hapa JF.

Ila kuna machache ya kuangalia kwa mwaka 2021.

1. Watu kuelewa "concept" au dhana kwamba malengo ya serikali hii na maono au Vision ya kiongozi wake ni yepi.

2. Viongozi wote wa serikali nao pia kuelewa dhana nzima ya malengo ya serikali.

Ukiangalia bado watu wajinga wengi kama hao wanaonunua hizo V8 kwa fedha za kodi za wananchi bila kutumia akili na kufikiri sawasawa kwamba ni fedha hizo zahitajika kupeleka maendeleo huko vijijini.

Ila kwa ujumla twatarajia mawazo na maoni mbalimbali yawe chanya na hasi yote kwa pamoja kupokelewa na hao wasaidizi wa kiongozi wetu na kumuelimisha kwamba kuna masuala ya msingi na ya kupita tu.
 
Hizi ngonjera tuu zakupotezea muda na kupunguzia hasira.
Hakuna kiongozi yeyote kwa sasa anaweza kujifunza kupitia JF, JF wanajifunza wale walio amua kutumia akili zao tuu.
Sasa kwa sasa nani anatumia akili yake aliyojakiwa na Mungu? Hakuna.
Eitha watatumia akili za kuazima toka kwa mteuzi wakati naye anatumia akili za nguvu za Giza.
 
Kaka pascal, rekebisha kidogo- sperm inakutana na ovum sio embryo.
Otherwise naunga mkono hoja.
Nadhani ilikuwa sahihi kusema sperm ikikutana na ovum kinatokea urutubishaji (fertilization) na muunganiko wa sperm na ovum unaunda zygote (a fertilized egg cell).
Tunakumbuka biolojia ya kidato cha nne, huchukua siku 8-14 kwa zygote kuwa implanted kwenye mfumo wa uzazi na kuwa embryo.

Nadhani context ya Kaka Paskali ni kujenga hoja na hoja yake ya voice from within kwa kuunganishwa na mchakato wa mbegu kuungana ina mashiko.

Naomba ku-declaire interest, nimesoma PCB kidato cha 5&6 hivyo huu mchango wa Paskali imenikumbusha vema madesa ya zamani.

Pengine nami nichangie kidogo kwa "akina fulani" wanaosoma kama wakipata nafasi; kuna wakati wanasoma na kuchukua hatua pale wakiona inafaa.
Wanaochangia hoja za kihalifu, hatua mpaka ya kuwakata hufanyika ili kuzuia uhalifu usikotee tena. Aliwahi kukamatwa Wilfred Rwakatare (wakati akiwa Mkurugenzi wa usalama wa CDM) kwa habari iliyotokea humu.

Rai yangu, kama wanasoma, iko haja wakaja na mifumo jumuishi ili mtoto azaliwe. Fertilizatin ku-form zygote ni hatua kubwa sana (wazo); ili embryo ambayo itakuwa implatent kukua na kutengeneza viungo vyote kwa mchakato automated wa mitosis cell division, na mtoto atokee akiwa na afya njema na ubongo wake umejengeka vema ni lazima mama apate quanititative & qualitative feeding kwenye miezi 9 ya mimba na psychological support. Na kuna wengine hali huwa si hali inalazimika kupewa bedrest ili mimba isitoke. Kwa kuwa sio kila mwanamke mwenye mimba anaweza kuwa treated equally, likewise in the course of service, kwa namna JF watu aina ya Paskali wanafikiri kwa sauti, sio kila sauti inatakiwa kusomwa ikaachwa tu, zingine zahitaji special case ku-extract kupata thamani ya wazo lenyewe.

Nimewahi kufika Mafinga na Mufini kuna miti mingi sana ya mbao, nguzo na mirunda. Kumbe miti hiyohiyo ya mikaritus, tungeweza ku-extract kutengeneza essential oil

Forex ngapi tungeingiza?? Inakuwaje Watanzania mashamba yapo na fursa za kuuza mafuta kama hayo ipo duniani then tumekaa. Hatujataka kusikilizana namna gani ya kuja na solution ya pamoja.

Hapa chini ni bei ya mafuta ya majani ya mchai-chai

Kwa ukubwa wa ardhu tuliyonayo, kuna hela za uwekezaji mwaka jana ziibaki TIB zaidi ya 88%; kwanini tuwekeza hata kwenye basics kama hizi ili kupata forex in the courss of creating employments??

Mimi huwa ni muumini wa kujenga mifumo inayoshabihiana. Tanzania tunakwama baadhi ya maeneo simlpy mifumo haiwasiliani, mifumo haina interdependability. Kuna watu kwa kuwa tu wako serikalini na wana hakika ya paycheck basi wamefunga akili zao kudhani they can function in the absense ya mifumo nje ya serikali.

Yesu wa Nazareth alisema, mkulima alipanda mbegu 4, moja ikafa hata bila kuota.
ya pili ikaota isipokuwa ikafa kwa mizizi kushindwa kupenya kwenye mwamba
ya tatu ikaota na baadae ikafa kwa kusongwa na miba
ya nne iliota na kuzaa matunda kwa kuanguka kwenye udongo mzuri. Udongo mzuri simply ulikuwa na rutuba ya kutosha ku-support mahitaji ya mmea kukua na kupata virutubisha na matunda ni outcome ya mmea kuhifadhi akiba yake baada ya kukua.

Tanzania itakuwa na kufika mbali kwa public sector tap na watu wa nje ya mfumo ya public na kujenga collaborative venture za kutengeneza solutions za nchi hii.

Kila la heri wana JF tunapokaribia kuvuka 2020 kuingia 2021. Mungu yuko nasi kwa rehema zake tutavuka.

Wasalaam

F
 
Tunao wawakilishi wengi makini bungeni wanatosha kutusemea,na tushukuru Mungu safari hii tumepata wabunge wengi kutoka chama makini Chama Cha Mapinduzi .

ukimuona mtu anakesha Jf kuizungumzia serikali na kuitukana tambua huyo ana interest zake binafsi na hao ndio vibaraka wa mabeberu.

Wengi wao hapa Jf wamekuwa kama mbwa koko wanabweka bweka tu hawana madhara pia tuna wale waliokosa teuzi wanakuja kujificha humu Jf kulalama🤔🤔🤔🤔
ma popoma utayajua kwa muandiko wao, ebu kapige mswaki ndo uje tajadili
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
ila una mastory mkuu inatakiwa uwe arround nikipiga zangu domple
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom