Thinking Aloud: Hongera JF kulisaidia Taifa, "Atakuwa anaingia JF in person na kutusoma!". 2021 let's be more responsible, more strategic

Tunao wawakilishi wengi makini bungeni wanatosha kutusemea,na tushukuru Mungu safari hii tumepata wabunge wengi kutoka chama makini Chama Cha Mapinduzi .

ukimuona mtu anakesha Jf kuizungumzia serikali na kuitukana tambua huyo ana interest zake binafsi na hao ndio vibaraka wa mabeberu.

Wengi wao hapa Jf wamekuwa kama mbwa koko wanabweka bweka tu hawana madhara pia tuna wale waliokosa teuzi wanakuja kujificha humu Jf kulalama🤔🤔🤔🤔
Kundi lako ni lipi.
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
Kwanza mtoto akiwa tumboni(?),Kuna vitu hategemei toka kwa mama.Mfano damu.So inatuuma kupotosha.
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuoga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x 3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...

Uhonyala.
 
Pasco, waingereza wanasema, "you have said it all".
It takes generations to get such a visionary and strategic leader. Ila pia waswahili tuna msemo, watu wazuri huwa hawadumu kwa muda mrefu.
Kwa ufupi sana, JPM atabaki kukumbukwa kwa yale aliyosema na kutenda. Kuna mengi kafanya kwa niaba ya waliomtangulia (kuijenga Dodoma yenye hadhi na mkao wa Makao Makuu ya Serikali, Ujenzi wa bwawa la Nyerere kufua umeme), na kuna mengine kafanya kama matamanio yake kwa Watanzania kama ujenzi wa hospitali za rufaa karibu kila mkoa, ukarabati wa mashule ya sekondari, kuipa vifaa vya kisasa JKCI na Muhimbili ili kupunguza gharama za tiba kwa Watanzania kwenda nje kutibiwa.
JPM aliwaweka "watu kati", ili Tanzania ipate hisa kwenye mgodi wa Barrick na Bart Airtel;

Kwa hakika kuna mengi ya kumsemea kwa mema, japo kuna wengine watamlaumu kwa ubaya; itoshe kuandika networth yake ni kubwa kwa maana ya mema aliyofanya yanakuwa ni mengi kuliko mabaya macheche ambayo kila binadamu anaweza kuwa nayo.

Faraja ya Mungu alie juu na iwe juu ya familia ya JPM, viongozi na Watanzania kwa ujumla. JPM, utabaki kuwa kiongozi bora kabisa kwa "legacy" uliyoiacha.

Kwaheri Mwl John Pombe Magufuli, kwaheri Dr. John Pombe Magufuli; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2021
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tuu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi jf, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vilatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu jf, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tuu kuvuta hewa ya kwanza baada tuu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana jf kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana jf humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana jf, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli jf itabarikiwa sana na sisi wana jf pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu jf na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana jf yanavyofanyiwa kazi, hivyo jf kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana jf for this.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka jf.

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama jf, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu jf zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu jf na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za jf, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za jf ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa jf wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa jf wote, jf is power to reckon with!.

Paskali
Japo hili ni wazi la siku nyingi lakini bado liko valid, leo serikali ime recognises rasmi uwepo wa jf, kwa Waziri wa habari kutembelea jf, hivyo hapa nakumbushia tuu kuwa jf na sisi tumo!.
Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala .

Mungu ibariki JF

====

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash leo Agosti 26, 2021 ametembelea Ofisi za Jamii Forums JamiiForums jijini Dar

Waziri ameweza kujionea jinsi Taasisi ya Jamii Forums inavyofanya kazi pamoja na kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi yetu

Pamoja na mambo mengine, Waziri amepongeza jitihada za Jamii Forums katika kuelimisha umma juu ya masuala anuai ikiwemo afya ya jamii na hasa Ugonjwa wa UVIKO-19
View attachment 1910052View attachment 1910053View attachment 1910054
Hongera sana Mkuu Maxence Melo , this is the beginning of government official recognition.
Ile the JF spirit ya "be the first to know" worked very well hata juzi kwenye hili tukio la Ubalozi wa Ufaransa ni JF ndio wa kwanza kutoa breaking news tangu jamaa akiwa Salender bridge.

Big up Maxence Melo,
Big up wana Jf.
Let's keep up the jf spirit
Long Live JF
P
 
Japo hili ni wazi la siku nyingi lakini bado liko valid, leo serikali ime recognises rasmi uwepo wa jf, kwa Waziri wa habari kutembelea jf, hivyo hapa nakumbushia tuu kuwa jf na sisi tumo!.

Hongera sana Mkuu Maxence Melo , this is the beginning of government official recognition.
Ile the JF spirit ya "be the first to know" worked very well hata juzi kwenye hili tukio la Ubalozi wa Ufaransa ni JF ndio wa kwanza kutoa breaking news tangu jamaa akiwa Salender bridge.

Big up Maxence Melo,
Big up wana Jf.
Let's keep up the jf spirit
Long Live JF
P
We mzee hulali?😂 congrats maxence my blooh
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts ya hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi JF, lakini likitokea jambo lilasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vikatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu JF, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo nyingine ni kweli hutokea na nyingine hazitokei, zinapotokea, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni Kufikiri kwa sauti, kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwenye part of brain, ubongo, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tu kuvuta hewa ya kwanza baada tu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana JF kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana JF humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana JF, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baada ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, for nothing, ni kelele for something, na kiukweli JF itabarikiwa sana na sisi wana JF pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu Max na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu JF na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana JF yanavyofanyiwa kazi, hivyo JF kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana JF for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi keisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka JF

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama JF, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu JF zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu JF na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za JF, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za JF ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa JF wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa JF wote, JF is power to reckon with!.

Paskali
Kama naniliu alikuwa anaingia jf in person, then hata nanilii humu anaingia!. Lets be more responsible, more objective, tumsaidie na kulisaidia Taifa letu.
P
 
Wanabodi,
ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za JF ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa JF wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, anayakula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa JF wote, JF is power to reckon with!.

Paskali
Yule alikuwa anashuka mwenyewe jf in person, huyu sina uhakika sana, ila ikitokea na yeye anashuka huku in person, nina imani anaziona hoja zetu humu na atazifanyia kazi!.
Mungu ibariki Tanzania

Poa P for your advocacy inawezekana siku akasikia kilo chetu🤔
 
Wanabodi,

Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts za hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tu lakini inafikirisha, na sio lazima hiki kitu kiwe ni kweli, au ni sisi JF tumekisababisha, lakini likitokea jambo likasemwa humu, likajadiliwa, kisha vyombo vya maamuzi vikatoa maagizo au kufikia maamuzi kuhusu jambo hilo kwa jinsi ile ile lilivyojadiliwa humu JF, kama zilivyo baadhi ya zile mada zangu za "the voices from within", ambazo japo nyingine huwa hazitokei, lakini nyingine ni za kweli hutokea kweli!, sasa zinapotokea kweli, hata kama the cause sio sisi, lakini kama tumepigia kelele jambo fulani, tukashauri na kisha hatua zikachukuliwa, tuna haki kabisa ya kujipongeza kuwa tulichangia!.

Thinking Aloud ni Nini?

Thinking Aloud ni kufikiri kwa sauti, ama kwa kusema ama kwa kuandika. Kwa kawaida kufikiri kunafanyika kwa mawazo ndani ya ubongo, kwenye part of brain, responsible for thinking ambapo tangu binadamu anazaliwa, ile tu kuvuta hewa ya kwanza baada tu ya kutoka tumboni kwa mama, huo ndio mwanzo wa binadamu kujitegemea, kabla ya hapo, kiumbe huyo akiwa tumboni, kila kitu alimtegemea mama aliyembeba miezi 9.

Kwa vile mimi ni mtu wa ma story, kwa wale walio busy, ama wasio na time na ma story, to cut the long story short, mnaweza kuishia hapa na kujump kule mwisho. Wale wa mastory mnaweza kuendelea hapa

Mada hii nimefikia, by thinking aloud kuhusu the role of JF kwenye maendeleo ya taifa letu, na kujikuta ninatoa hongera kwa JF na wana JF kwa mawazo chanya ambayo yanalisaidia sana taifa, letu la Tanzania, kwasababu kuna mtu, au kuna watu, "Atakuwa Anaingia JF in Person na Kutusoma !", na kisha to make sense of mawazo ya wana JF humu, na kisha kuyafanyia kazi, kwa kuchukua hatua stahiki, hivyo kwa kulijua hili, natoa wito kwa mwaka 2021, sisi wana JF, lets be more responsible, kwa kuwa more focused kwenye baadhi ya mada au hoja zinazo husu maslahi ya taifa, tuwe more focused, more strategically na more critical, using critical thinking, tunamsaidia sana huyu jamaa na kulisaidia sana taifa, ingawa huwa hasemi au hawasemi, lakini wanasoma na kuyafanyia kazi baadhi ya maoni yetu humu na hoja zetu humu, mawazo yetu humu na ushauri wetu humu hivyo baadhi ya vitu tunavyo vipigia kelele humu, hatupigi kelele for nothing, ni tunapiga kelele for something, na ni kweli something is being done.

Kiukweli JF itabarikiwa sana na sisi wana JF pia tutabarikiwa!, big up kubwa sana kwa Mkuu, Maxence Melo na team yake, big up sisi wana jf wote in our totality.

Japo kuna mitandao mingi ya kijamii ambayo inaibua hoja mbalimbali kila dakika kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, tiktock, LinkedIn etc, hakuna mtandao ambao unafanya mijadala na uchambuzi wa issues kama jf, hivyo kitu kikiibuka Twitter au YouTube, kina pata more weight na momentum kama kitajadiliwa humu JF na matokeo chanya ni kuona mawazo ya wana JF yanavyofanyiwa kazi, hivyo JF kujikuta tunatimiza wajibu wetu kwa ama kulisaidia kulijenga taifa kwa kutoa mawazo constructive kulisaidia taifa, au kuliponya taifa kwa kuangazia madudu yanayofanyika as whistleblowers, na hata kwenye ukosoaji wa viongozi wetu na serikali yetu unaofanywa kwa constructive criticism, unalisaidia taifa. Big Up sana wana JF for this.

Kufuatia kinywaji ninachokata, Joni Mtembezi, ni kikali ila stimu zake ni short lived, ukipiga, huchelewi kuzimika, ila pia stimu hazichelewi kuisha, hivyo zikiisha lazima utaamka, utasikia kiu due to nausea, unapata maji, na ndipo unaendelea kulala the normal sleep. Wakati ukiwa kwenye usingizi wa Joni Mtembezi, Cognitive brain inakuwa at complete rest, relaxed na hakuna hata kuota.

Hivyo nilipoamka usingizi umekata, nikajikuta nashika simu janja yangu na kuperlus mitandaoni, nikaanzia Twitter kuzisoma za moto zilizopakuliwa kutoka jikoni, nikaenda YouTube, nikaenda Facebook, nikaenda LinkedIn na kutembelea several blogs na mwisho nikashuka JF

Nilipoanza kuifikiri hii mitandao nikajikuta hakuna mtandao unakata issues za kitaifa kama JF, na nikiangalia impact ya baadhi ya hoja za nguvu za humu JF zenye nguvu za hoja, nikajikuta nashawishika kuwa hata naniliu mwenyewe in person, atakuwa anaingia humu JF na kutusoma, na kufuatia hoja za humu, zinamuingia na anachukua hatua.

Naomba nisiende kwenye hoja specific na hatua specific zilizochukuliwa kufuatia hoja za JF, maadam hata wenyewe hawasemi, naomba na mimi nisiseme ila sisi baadhi yenu tuliojaliwa jicho la tatu na the sixth sense, tunaona, naomba itoshe kusema kuwa jf we are just doing a very good job, for this country na wahusika wanajua, wanaona, wanasikia na wanazifanyia kazi hoja za JF ikiwemo kuchukua hatua stahiki.
Big up sana kwa JF wote, hata wale watema pumba, maana hata hizo pumba ni chakula cha kuku, mtu anayekula kuku mtamu, huo utamu wa nyama ya kuku unatokana na pumba alizokula!.

Big up sana kwa JF wote, JF is power to reckon with!.

Paskali
Rais Samia:

Huwa napitia Jamiiforums naangalia maoni yenu kule ndani, nasoma nnacheka,

Duh...!, kumbe na humu Mama huwa anaingia mwenyewe in person!.
Haya sasa Mama kasema mwenyewe!.
Angalieni bandiko hili mimi nilisema nini!.
I was damm right!.

Wanabodi
Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 View attachment 2855370

Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,

Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
View attachment 2855372View attachment 2855373View attachment 2855374
View attachment 2855375kama kweli watashiriki mkutano huu this time, na kama walishirikishwa na kuridhia picha zao zitumike kuupromote huu mkutano, kwasababu huko nyuma, walisusaga na kuzira!.

Hawa jamaa, hawanaga mchezo mchezo, maana hawachelewi kuita press conference na kutangaza bado wamesusa, bado wamezira, na hawatashiriki!.

Swali ni licha ya maridhiano na kukubaliana kugawana nusu mkate! baada ya maridhiano na CCM, na kukubaliana kugawana Nusu Mkate, bado kuna haja ya wao kuendelea kususa na kuzira mikutano na vyama vingine?.

Baada ya kuususa ule Mkutano wa kwanza wa Dodoma, nikawaomba msisuse, Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

Ila kususa kule kukawa na faida kwenu, kukazaa matunda ya maridhiano ambayo mmekubaliana kugawana nusu mkate, lakini Mkutano wa pili wa JNICC Dar es Salaam, mlisusa tena na kuzira!,

Nawaombeni sana, msiendelee kususa na kuzira, Please, hata kama mna hoja, njooni mezani, zileteni mezani, tukae pamoja, tuzijadili pamoja, tukiwa wamoja, ili twende pamoja!. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, kuna vitu, ili ufanikiwe, vinahitaji a team spirit na team work, hivyo you have to be a team player and it's only if you are together, you can!.

Nawatakia Mkutano Mwema!.
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Kuna baadhi ya vitu tunaviandika humu jf, kwenye baadhi ya hoja, tunaonekana kama tunajiandikia tuu for nothing, it's a wastage of time, money and resources, but believe it or not, it's not nothing, it's something na mfano hai ni bandiko hili, angalia nilishauri nini na angalia matokeo Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 3, 2024

Hivyo tuendelee kuandika na kushauri, baadhi ya hoja zetu humu zinasaidia.

Jf lets keep up.
Paskali
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom