(Think big save your knowledge) neno langu kwa wasomi ngaz zote

Ailars David

Senior Member
Jul 6, 2017
128
225
Maisha yana nyanja nyingi Sana za kutokea japo wako wanaona kuwa ukifeli shule umefeli maisha kitu ambacho si kwel! Kama hili lingekuwa kweli basi walimwengu wote wangekuwa wasomi
Unalotakiwa kujuwa wewe Kama mtu uliyepata elimu ni namna ya kuitumia elimu yako Kwa manufaa ya yako na jamii kwa ujumla

Okoa taaluma yako kwa kuwaza mbali itoe kwenye makaratasi ipeleke kwenye uhalisia ikusaidie
Usimdharau yeyote kwa elimu yake! aliyonayo ila uwe chachu ya mafanikio kwa wote!
Kaa ukijuwa
Kuna elimu ya shule na elimu ya maisha mwerevu huzichanganua elimu zote hiz kwa hekima na maarifa
 
Mikanjeti

New Member
Aug 31, 2019
1
20

Asante mkuuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom