Things you don't know about Dodoma, the capital city of Tanzania

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Dodoma ndio mji mkuu wenye chuo kikubwa kuliko vyuo vyote vilivyopo kusini mwa jangwa la sahara, UDOM au ukipenda kiite Chuo Kikuu cha Dodoma.

Dodoma ndio mji mkuu wenye bunge nzuri na kubwa kuliko mabunge yote ya nchi za East Africa.

Dodoma ndio mji mkuu wenye ikulu yenye eneo kubwa, na inavyoonekana ndio itakua ikulu nzuri kuliko zote katika nchi za East Africa

Dodoma ndio mji mkuu wenye stand nzuri ya mabasi zaidi ya mji mkuu wa Kenya Nairobi.

Dodoma ndio mji mkuu unatazamiwa kujengwa uwanja mkubwa wa mpira unaotarajiwa kuwa uwanja mkubwa zaidi kwa nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambapo uwanja huo ukikamilika utakua na uwezo wa kubeba watazamaji laki moja.

Dodoma ndio mji mkuu upo mbioni kujenga kiwanja kikubwa cha ndege, kiwanja hicho cha kisasa inasemekana kikikamilika ndio kitakuwa kiwanja cha kisasa zaidi kuliko kiwanja cha ndege cha Nairobi, Kenya, Jomo Kenyatta International Airport

Hapo bado sijakupa facts za ujenzi na projects za ujenzi wa mji wa kisasa wa Msalato ndani ya Dodoma ambapo kuna miradi wa ujenzi wa hotel zenye hazi ya nyota tano, maeneo ya shopping centre maarufu kama malls na vitu kibao ambavyo vitajengwa Dodoma.

Kwa ninavyoona, Dodoma anakuja kumpumzisha kaka yake DSM kwenye battle na Nairobi, kwani DSM inabidi kuanza kubato na majiji makubwa kama joz, Lagos na Cairo ukizingatia DSM ina population kubwa zaidi ya Nairobi na kuipambanisha na Nairobi huwa ni kutoitendea haki kwani population ya Nairobi ni ku-battle na majiji kama Kampla na Kigali, na kama unavyojua sifa ya majiji makubwa mengi hua na population kubwa.

Point yangu hapa Dar i-battle na majiji yenye population kubwa, majiji yenye bahari na majiji yaliunganishwa kwa train za umeme.

😂😂 naona soon tunaaza battle ya Nairobi vs Dodoma
 
Embu tuwe realistic jamani, hivi kweli unaweza kufananisha Dom na Nai! Hapana
Mbona mnabisha bila kuja na hoja za kupinga kilichoandikwa hapo juu, kwani kuna uongo hapo zote ni facts mzee
 
Sio mbaya wacha tuone

Ila Nairobi iko poa kwa namna yake na Population yake pia ni kubwa kubwa kwa namna yake wacheni kujidanganya


At least Dar Es salaam muweke na Mombasa kwa mbaaaaali
DSM baba lao jiji kubwa lenye beaches za hatari na sasa kuwa na train la umeme, tunahanza kubattle na joz, lagos na cairo mzee, Nairobi level yake kampala na kigali
 
Back
Top Bottom