Things Falling Apart...

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
4,537
Points
2,000

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
4,537 2,000
1. Mkataba uko Mtandanoni
2. Vitisho dhidi ya Demokrasia
3. Vitisho kutumia vipengele vya katiba ambavyo vimebadilishwa
4. Kutishiana kupelekana mahakamani
5. Madai kuwa kila kinachosemwa ni uongo na uzushi
6. Mabalozi wa kigeni, Benki ya duunia na Shirika la Fedha likidai uchunguzi
7. Madiwani kukacha mikutano na Makamba
8. Mawaziri kuzomewa
9. Zitto kuhoji matumizi ya fedha kwa ziara za kutangaza bajeti huku wawakilishi wa majimbo wapo
10. Karamagi akiri kubadili mkataba
11. Kikwete yuko matibabuni Ufaransa: Yasadikika anawaita mawaziri mmoja mmoja

Na bado, mchezo haujaisha! Viva vijiwe, Viva Slaa, Viva wananchi kukataa kuburuzwa tena!

Revolution will not be televised!
 

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
3,063
Points
1,500

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
3,063 1,500
Mzee kishoka hapa nyani anapigwa mawe yale ya usoni tena unamtazama. wananchi wameshindwa na adha ya kwenda msalani kwa kuchuchumaa, hii ni karne ya 21 na hakuna sababu yoyote Tanzania ya leo iendelee kutumia pit latrines wakati uwezo tunao wa kuweza kabisa kutokomeza vyoo vya aina hiyo kwenye miji yetu yote na kuondoa magonjwa yanayoletwa na mipango mibaya kama hii. Je ni lini cholera itaisha Dar? na sehemu nyinginezo.

Tukiendelea kuwachekea mafisadi hawawezi katu kuacha tabia yao HII NDIYO LUGHA WANAYOIFAHAMU.
 

Rubabi

Senior Member
Joined
Nov 30, 2006
Messages
174
Points
0

Rubabi

Senior Member
Joined Nov 30, 2006
174 0
Reverend
Cha ajabu hawa CCM hawana hata maadili ya kusema kwamba hapa basi, tumefanya makosa mengi, ngoja tuachie ngazi, hapana!Wanalala vizuri tu na wanapata usingizi!

Mungu Ibariki Tanzania.
 

Lawson

Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
70
Points
0

Lawson

Member
Joined Sep 25, 2007
70 0
mambo mbona bado! subiri kombola funga mwaka linalosukwa siku Dr slaa akirudi linapasuliwa tena mbele ya JK nafikiri hilo litawachanganya kisawasawa. hatulazii mtu damu tumenyonywa vya kutosha na hao wakoloni weusi
 

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,847
Points
0

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,847 0
kikwete anaumwa na nini ? au medical checkup ufaransa? uingereza ishakuwa too common sasa acha viongozi wajuu wabadilishe nchi
 

TEMA

Member
Joined
Oct 1, 2007
Messages
27
Points
0

TEMA

Member
Joined Oct 1, 2007
27 0
Tatizo JK hakujua wananchi walimchagua kwa nini- ukitaka kujua sababu angalia mtiririko wa siasa za urusi.
1. Gobachevu- Aliazisha mapinduzi makubwa- Hapa kwetu alikuwa Mzee Ruksa
2. Yelstin akaendeleza mapambano lakini yakaibuka makundi makubwa ya mafisadi ( RUSIA OLIGACH) wakatafuna nchi kwelikweli- hapa kwetu kipidi hicho ni cha Mzee wa ukweli na uwazi.
3. Putin akona mambo yamekenda mrama sana akarekebisha sana mambo ikiwa ni pamoja na kuwakamata na kuwafunga mafisadi, wengine wakakimbilia uingereza makao makuu ya mafisadi wa nchi zinazoendelea. Watanzania walitegemea JK awe kama PUTIN lakini............................
 

Forum statistics

Threads 1,365,501
Members 521,253
Posts 33,348,047
Top