"We have done many good things for this country".
Such as _______________________________________________________________________ ?
Mama Salma ameongea kitu kimoja hatari sana na kinaonyesha dalili mbaya kwa hapo baadaye, amesema baba akiwa kwenye uongozi basi na wewe mama unakuwa pia kiongozi! Really???
Na pia kitu kingine ni kitendo chake cha kufanya kampeni kwenye kituo cha kupiga kura siku ya uchaguzi kwa kuwaomba watanzania waichague CCM.
Anavunja sheria mbele ya waandishi wa habari nao wanashindwa hata kumuuliza. Kwa kauli ile ya kwamba naye pia kama mke wa urais anakuwa kiongozi automatically kinathibitisha wazi watanzania tutegemee nchi kuongozwa na familia.