These are three skills you need to survive 5 to 20 years from now. Job Economy is dying. University degree won’t help you

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Habari wakuu.

I trust you are good.

Nipo hapa kama kawaida ku-share maarifa yatakayokuongezea VALUE kwenye life yako.

Hasahasa namna yakuona opportunity na kuzitumia kwa faida.

Kwa kuanza...

Naomba nianze na tafiti ya Forbes

IMG_5878.JPG

Hiyo post ya Forbes inasema Artificial Intelligence (AI) itasababisha ajira 500 milioni kubadilika toka kufanywa na binadamu na kufanywa na mashine.

What do you think about that?

Hiyo maana yake...

Kuanzia construction companies, fast food restaurants, viwanja vya ndege, usafiri wa taxi, kilimo, afya, tourism etc wafanyakazi wataumia.

Few months ago Uber wamewekeza $1 billion kwaajili ya taxi zisizotumia dereva binadamu.

Hiyo number si mchezo mchezo. Hiyo ni B

Sasa hapa unaona Job economy inakwenda na maji.

Kwakutumia AI, Kampuni ya usafiri wa taxi Uber si tu inaenda kufanya maisha ya madereva taxi kuwa magumu kwa kukosa ajira bali pia wote wanaowategemea hawa madereva taxi. Familia zao, watoto wao nk.

Hiyo maaana yake tunapokwenda ajira zitapotea kabisa kabisa hata ukisema aaah mimi ni professional nina degree nipo safe.

You are not man.

Kama utakuwa safe basi itabidi ulipwe pesa kidogo tu kwasababu AI inaweza kusaidia pakubwa kwahiyo hakuna haja yakukulipa lots of money.

Kuna kipindi ONTARIO alielezea kuhusu teknolojia ya house printing baadhi ya watu wakawa hawaelewi sana hii.

Niseme tu...

Hii inakuja kwasababu kwanza kabisa ni Cheap kutumia teknolojia ya house printing.

Pili, ni salama.

Hivi unafahamu hudreds of construction workers die every year because of accidents?

Wanaodondokewa na object au wanaoanguka toka kwenye majengo marefu.

Hii ni gharama na hatari kwa kampuni zinazoendesha ujenzi katika kiwango kikubwa.

They must adopt to new technology.

Na hapa ndiyo AI inaingia.

Chukulia mfano wa fast food restaurant kama vile Mc Donald’s.

Mc Donald’s tayari wameshaanza kutumia AI na soon utaona matumizi ya AI kwneye fast food restaurants yanafika Africa kwenye miji mikubwa.

IMG_5877.JPG

Hapa swali linakuja.

Hawa watu wote watakopoteza kazi wataenda wapi?

Hii kwa mtu anayejali Kuhusu future lazima ajifikirie yeye na familia yake.

Kwa matajiri na wamiliki wa biashara kubwa wao AI inawapa advantage kwasababu they have money to buy the technology and use it to maximize profit.

Kwa mfano restaurant iliyokuwa inaajiri wafanyakazi 50 sasa inaweza kuwa na robots 4 wanaofanya kazi kwa ufanisi, kwa haraka na tena bila kuchoka wala complains.

Trust me...

Kwa namna hii employer kamwe hawezi kukuajiri wewe unayetaka kulipwa Tsh 900,000 wakati anaweza nunua software yenye artificial intelligence kwa gharama ya mara moja Tsh 7,000,000 na kukaa nayo kwa miaka mingi bila kugharamia chochote.

Unahitaji kujiandaa mtu wangu.

Na ndiyo maana nikasema leo niandike post nikufahamishe Skill unayotakiwa kuwa nayo ili AI isiweze kukugusa.

Are you ready?

Let’s start.

1 • Copy Writing ✍️

Ok.

Here is the deal.

Makampuni makubwa au biashara yoyote ile ipo tayari kukulipa BIG MONEY kama ukiweza kuwasaidia maarifa yakuuza bidhaa zao.

Period.

Sasa hapa ndipo inapokuja skill ya Copy writing.

Labda niseme nini maana ya copy writing.

Well, copy writing maana yake ni kuandika sale copy itakayo mfanya potential buyer anunue bidhaa unayomuuzia.

Hii skill huwezi ipata college.

Inabidi ujifunze kwa vitendo ili uelewe how to go about it.

Kwenye copy writing ni tofauti kabisa na uandishi wa uliofundishwa darasani.

Copy writing inalenga katika kumfanya pontential buyer anunue kweli.

Uki-master hii skill basi trust me you will make so much money

Kumbuka hakua mfumo wowote wa AI unazoweza badili skill ya kuandika sale copy.

Technology itaboresha mambo kama good looking landing page lakini si copy writer.

It is better you learn now before it’s too late.

2 • People’s Knwoledge.

Hapa namaanisha uwezo wako waku interact na watu katika namna itakayokufanya uaminike kwao.

I got money to build my tours company simply because I was so good to deal with people and win their trust.

Hii skill AI haiwezi badilisha.

Na Ukiwa na hii skill ni rahisi sana kupata watu watakao support business idea uliyo nayo.

Jifunze leo kuhusu Emotional Intelligence ili ufahamu namna yakutumia emotions kuwasiliana na watu in a deep way.

Hii kwa ujumla itakuza ufahamu wako kuhusu peoples knowledge na mwisho wa siku inakuwa skill unayotumia in daily life.

Kumbuka kupindi hiki cha Social Media unaweza ukatumia Emotional Intelligence kuanzisha communication na mtu yeyote duniani.

And some of these people will become business partners.

Unahitaji tu kujifunza na kufungua macho yako kuona.

Is that difficult for you?

I hope not.

3 • Communication Skills.

Najua unauliza communication skills tena?

Ndiyo.

Communication skills ni muhimu sana lakini kwa bahati mbaya watu wengi hawajui kuwasiliana kwa ukamilifu.

Hawajui kuongea kwa ukamilifu wala kuandika.

And that is big problem.

Usipojua communication skills ni ngumu sana kufanikiwa kama copy writer.

Ni Ngumu sana ku-master peoples skill.

Kwahiyo unaona communication skills si tu unaihitahi katika mawasiliano ya kawaida lakini pia unahitaji katika eneo la biashara.

But how do you improve your communication skills.

Ok cool.

I have few tips zitakazokusaidia.

- jifunza kuandika maneno ya lugha unayotumia kwa usahihi na ukamilifu.

- jifunze kuongea kwa confidance lakini pia strait to Point.

- Jifunze kutumia body language ukiwa unaongea na watu. Hii itakusaidia kuongeza Emotional intelligence yako.

- Jifunze kuelezea mambo hata kama ni biashara katika namna ya story telling. Hii ni technique nzuri sana kwasababu si tu itavutia watu lakini pia itakusaidia kuongeza misamiati mipya ya maneno.

Hii skill ya communication Artificial Intelligence haiwezi kuondoa.

Na nikuambie tu sasa hivi hata katika copy writing tunatumia story telling kama njia yaku win trust na attention ya potential buyer.

Yes I.

Ngoja niishie hapa kwa leo.

Tukutane siku nyingine.
 
Cha kuongezea ingawa inaonekana kama utani ila ndio ukweli kama una ndugu uko ni mtaalamu wa miti shamba usisite mfuata akuachie maarifa siye ngozi nyeusi tunategema sana nguvu za giza kwaiyo pamoja na mabadiliko yote kibongo bongo biashara ya ushirikina haitakuja athirika sababu asilimia kubwa ya jamii zetu ushirikina ndio kimbilio lao so kajifunze taaalumu hiyo itakusaidia
 
Mtoa mada yakupasa utofautishe kati ya Ulimwengu wa Kwanza na Ulimwengu wa Tatu (tunaoishi sisi Africa).

Dunia imeshapitia mabadiliko Mengi Sana, kwa mfano

Maendeleo ya viwanda. Imepita Millennial ngapi toka industrial revolution ifanyike? Je, Kuna industrial revolution yoyote imeshakuwa adapted huku Africa?

Maendeleo ya kidigitali, yakiongozwa na computer applications. Tokea kina Bill Gates na Steve Job walete revolution kwenye Software and Hardware, je Africa tume adapt kwenye haya maendeleo? Ukiitazama Africa, kweli unaweza kuona revolution ya computers?

Unazungumzia restaurants za Mc Donald kuwa na hizo systems za AI, je umeshajiuliza una umeme wa uhakika? Je umeme ukizimika inakuwaje? Maana huku kwetu Africa kukosa umeme Ni Jambo la kawaidi.

Hitimisho:

Hayo maendeleo ya AI na Mambo wengine, waachie wazungu huko, Sasa tuendelee kupambana na maisha yetu ya kawaida.
 
Roger that

Mkuu shukrani sana ..sisi uku Africa bado tumelala tu

Enewei kuhusu 'Copy Writing' naomba kidgo unifafanulie mkuu.

Copy writing ni skill inayotumika katika Online marketing kunasa wateja.

Kifupi ni maneno ya ushawishi ambayo Online marketers tunatumia katika Advertising and marketing ya bidhaa fulani.

Kwa mfano unataka kupata wateja wapya wakununua bidhaa yako mtandaoni inabidi uandike maneno katika namna itakayomfanya potential buyer anunue au achukue hatua fulani, labda kukupatia mawasiliano yake kwaajili ya kufanya biashara wakati mwingine.
 
Acha Nilale Nikiwa Nimeweka Kambi Hapa Nikiamka Naanza Na Kusoma Maarifa Ya Huu Uzi

00:22

Karibu mkuu.

Kwa vijana wanaoishi kwenye miji mikubwa Africa wanaweza ona hii mambo kwa uwazi sana.

AI is changing the way we used to work. And that posses a great danger to job economy.

We need to think globally and act locally. Change is coming your way. How good are you prepared? That’s up to you.
 
kufika afrika sio leo, ntakuwa nsha staafu, tumbuliwa ama kata moto kabisa kifupi bandiko halinihusu

You are lying to yourself my man.

Ngoja nikupe mfano.

Mwanzoni mwa 2000, watu wengi hawakufikiria kama wangeweza kutumia smartphone.

Nini kimetokea baada ya miaka 10?

Now you can use your artificial intelligence device (smartphone) to pay for LUKU at your home instead of going to Tanesco guy and buy from him.

Huu ni mfano mdogo tu wa jinsi AI au niseme technology inabadili mifumo ya ufanyaji kazi.

Usipokuwa observant ni ngumu kuona.

I’m telling you. After 10 year from now in Dar and Arusha there will be high end restaurants that 50% if work is done by AI.

Accountants wengi watakwenda na maji.

Wapishi wengi watakwenda na maji.

Haya mambo yanakuja.

Technology is changing things very very quickly.
 
Nakubaliana na wewe mkuu!

Mtoa mada yakupasa utofautishe kati ya Ulimwengu wa Kwanza na Ulimwengu wa Tatu (tunaoishi sisi Africa).

Dunia imeshapitia mabadiliko Mengi Sana, kwa mfano

Maendeleo ya viwanda. Imepita Millennial ngapi toka industrial revolution ifanyike? Je, Kuna industrial revolution yoyote imeshakuwa adapted huku Africa?

Maendeleo ya kidigitali, yakiongozwa na computer applications. Tokea kina Bill Gates na Steve Job walete revolution kwenye Software and Hardware, je Africa tume adapt kwenye haya maendeleo? Ukiitazama Africa, kweli unaweza kuona revolution ya computers?

Unazungumzia restaurants za Mc Donald kuwa na hizo systems za AI, je umeshajiuliza una umeme wa uhakika? Je umeme ukizimika inakuwaje? Maana huku kwetu Africa kukosa umeme Ni Jambo la kawaidi.

Hitimisho:

Hayo maendeleo ya AI na Mambo wengine, waachie wazungu huko, Sasa tuendelee kupambana na maisha yetu ya kawaida.
 
Kwa kusummarize ni kwamba muandishi anawashawishi vijana kujiajiri
Yes I would like to see that happen. More youth choose entrepreneurship.

Pia wewe creative zaidi.

They should start with what they have right now.

They need to start somewhere.
 
vipi kuhusu legal practitioners, wataarhirikaje na AI?

Back
Top Bottom