GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
- Thread starter
- #21
Cha kuongezea ingawa inaonekana kama utani ila ndio ukweli kama una ndugu uko ni mtaalamu wa miti shamba usisite mfuata akuachie maarifa siye ngozi nyeusi tunategema sana nguvu za giza kwaiyo pamoja na mabadiliko yote kibongo bongo biashara ya ushirikina haitakuja athirika sababu asilimia kubwa ya jamii zetu ushirikina ndio kimbilio lao so kajifunze taaalumu hiyo itakusaidia
Yes man.
If you think witchcraft is good for you go for it.
Tena hakikisha unakuwa deep kweli kweli.
Life is too short. Go for what you want.
No one cares really. Unless you are rich and famous