Kuna anayejua alipo Theresa Shayo ?
Eeh Mungu wangu huu ni mtihani mkubwa! Hujasoma article? Amefariki dunia!!!!Kuna anayejua alipo Theresa Shayo ?
Tatizo sio alitwaa lini. Alitwaa 1967, okay, mashindano yalianza lini?
Bado unasomeka kwamba mashindano yalianza 1960, mrembo wa kwanza kunyakua akaja 1967. Walikuwa wanatoka draw miaka yote saba kabla ya '67?
Wasema "hakubahatika" kupata mtoto. Aliwahi kusema kwamba alitaka watoto?
Wadai alikuwa mpole mwenye huruma "pamoja na kwamba alijiegemeza zaidi na ndugu zetu wa Kenya." Kwa hiyo ku hang na Wakenya kunatia hitilafu katika upole wa mtu?
Na ulipochomekea kwamba mkoa wa Mbeya hauko nyuma katika mashindano hayo, what is special about mashindano au warembo wa Mbeya? Hiyo sifa ya Mbeya kutoa mshindi, sio Mbeya peke yake wanayo.
hahahaha jamani hadi umenifanya nirudie tena kuangalia viatu vyao haahahahahahahahahahahahWamenivutia kwa viatu vyao and the way they are natural.
yupo from Nigeria AGBAAN DAREGO mwaka 2001 km sikoseiYaan miss world then hakuna mwafrika hata mmoja
Okyupo from Nigeria AGBAAN DAREGO mwaka 2001 km sikosei
Unamuonea mleta thread; Miss Tanzania wa kwanza ni marehemu Shayo aliyeshinda taji mwaka 1967. Yeye hazungumzii waliokuwa mamiss Tanganyika huko nyuma!Huyu ana mambo mawili. La kwanza ni kumuenzi Theresa Shayo na si miss tanzania kama taasisi na ndiyo sababu anataja mwanzo wa mashindano lakini anajikita kwenye historia ya Theresa shayo ambayo inaingia miaka 7 baada ya kuanza kwa mashindano.
Lengo lake anataka kuuza nini kwa ajili gani, sifahamu.
Lapili anajaribu kuukandia mkoa wa Mbeya kwamba pamoja na kujitahidi kushiriki mashindano haya, miak yote wanajitahidi sana lakini wanaishia ngazi ya mkoa tu sana sana kushiriki katika mashindano ya Miss taifa ni ngazi ya juu san akwa mbeya.
Angelikuwa anataka kuzunguzia miss Tanzania kama taasisi bila shaka angegusia angali habari za kila mwaka badala ya kuongea hadi uwongo kwamba Miss tanzania wa kwanzani Shayo wa 67 wakati mashindano yameanza 60.
Bila shaka angeongelea kina Aina Maeda japo kwakuwataja.
Ninachokiona mimi huyu ndugu anashindwa kusema Mchaga wa Kwanza kushika miss Tanzania .... 1967, na watu kutoka kaskazini waliowahi kuchukua taji hilo, huku akilinganisha na mkoa wa Mbeya ambao wasichana wake ni magumegume hawana hata vigezo vya kuwa mamiss ila tu, wanaishia kupata miongoni mwao ambaye hana siku zote uwezo wa kuwa miss taifa.
Nadhani hiii ndiyo mantiki lakini sababu kubwa anaijua mwandishi.
balaaaahHuyu mama ana watoto wa dada ake huko Arusha walikuwa moto kwelikweli kwa uzuri enzi hizo, wazuri haswa wale mabinti watatu wakawa na maringo makidai wakitaka wanaume wenye pea tu, la haula sasa hivi wamechoka hao hawana tena kitu mmoja kabaki kimada wa mchimba mawe wa mwisho kawa teja, dada mtu angalau alibahatika kupata mimba ya mzambia ingawa jamaa alikula kona now demu analea mtoto. Kweli mwanamke hakuna uzuri ila akili tu.
Kumbe tangu zamani watu walikuwa watembea nusu utupu
Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.