Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania


luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Messages
5,273
Points
2,000
Age
42
luambo makiadi

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2017
5,273 2,000
Uthibitisho huu hapa wakuu. Ni mwaka 1960 November 19 gazeti za Kichagga lililojulikana kama 'Komkya' ukurasa wa 19 wa mambo ya starehe linazungumzia umashuhuri wa mabinti warembo wa Moshi wakati huo wakiwaita 'vipusa'... Vipusa Teleeeee! Ahhaahaaaaaaa! Kweli tumerudi nyuma sana cku hizi.
View attachment 1015054
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
2,842
Points
2,000
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
2,842 2,000
mrembo wa kwanza mwenye asili ya africa anaaanisha mweusi..ndonilikuwa mwaka 67 huko nyuma walikuwa wanashinda asili za kiarab na kihindi nk...nyambafu
Mashindano yameanza 1960, lakini "mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo" ilikuwa 1967.

Okay, nadhani walikuwa wanatoka draw miaka saba mfululizo mpaka '67
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mega Mind Nyerere

Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
1,093
Points
2,000
Mega Mind Nyerere

Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
1,093 2,000
Nchi ina historia yake.
 

Forum statistics

Threads 1,294,205
Members 497,843
Posts 31,168,260
Top