Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,923
- 6,171
Wewe ni miongoni mwa wale watu ambao ni brainwashed...Tatizo si umiliki wa siraha za nyuklia mbona china urusi uingereza ujerumani australia sweden canada wanazo lakin hakuna taifa linalowasumbua
Apa tatizo ni aina ya utawala wa north korea utawala wa kiimla utawala wa kimabavu na wa ki dekteka
Ukibisha kuhusu udikteta lazima ujiulize udikteta ni kitu gani
Kwa mujimu wa mwalimh nyerere 1976 alisema dikteta ni mtu au kikundi cha watu wakio juu ya sheria awa watu wanajifanya wazalendo lakin wana amri anaweza kusema watu wamuabudu yy
Sasa tatizo hapa ni kukosekana kwa strong institution ambayo itakua responsible kwa north korea securuty but also for world security hasa ukizingatia mazara ya siraha za nyuklia ni globally kwaio lazma dunia iseme
Kama kim angekua na utawala wa demokrasia sizan kama nchi za magharibi na ulaya zingemchukulia hatua tatizo kim yy akiamua ndo kaamua apo dunia inakua sio sehemu salama
Kauli ya uingereza ni kuonyesha kua wako tayari kilinda dunia dhidi ya tishio hatariii la north korea
Kwann marekan anataka kumpiga North Korea ni sababu hawataku kufata masharti ya umiliki wa siraha izo hatari wanatishia wenzao korea kaskazin wanaeneza chuki kua marekan ni adui yao namba moja sasa marekan anajua korea akiachiwa atafika kipindi cha untouchable yaan hatuta muweza tena anaweza akaamua kuichukua ardhi ya korea kusin na ama japan ama china kama urusi alivochukua crimea na tusiweze kumzuia
Kwaio kinachoangaliwa hapa ni namna gan korea atadimamisha uzalishaji wa nyuklia basii kama hataki kusimamisha manake atakua tishio siku za uson apo dunia itakua s salama tena anaweza kuitawala hata africa na asiwepo wa kumzuia kumbuka nyuklia n tishio la dunia
Hizo blah blah blah na kumnukuu kile kizee basi unaona umemaliza!